Yasije kutukuta ya Yusuph poulsen, msambaa anakipiga euro championship na Denmark sio ?
Tunaangamia kwa kukosa maarifaKama hajachezea timunya taifa ya wakubwa tumpange haraka hata mechi moja...
Hata kama anaoteaga magoli....ila mvuto sifuri.Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium
Timu ya Genk ndio timu aliyokuwa anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta kabla ya kujiunga na Aston Villa
Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa KRC Genk, wamethibisha kumsajili Mtanzania huyo
Kila la heri kwa Kelvin John kwenye majukumu yake hayo mapyaView attachment 1829733
Ina hela.Ahakikishe ndani ya miaka miwili anacheza moja ya ligi tano bora ulaya na sio lazima premier league.
Sisi wabongo sijui kwanini ile ligi tunaipenda sana.
Sijui, labda kwa aina ya uchezaji wake wa kasi, na anashambulia vizuri tokea kote.
Dogo yuko vizuri saana, na kaenda ulaya bado mdogo akikaza tu, atafika mbali.Kwahiyo na ule udambwi dambwi kama wa Mbappe anao?
Dogo yuko vizuri saana, na kaenda ulaya bado mdogo akikaza tu, atafika mbali.
25 June 2021Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium