Kelvin Kiptum ashika rekodi mpya ya dunia katika marathon huko Chicago (2:00:35). Kipchoge kwisha habari yake!

DAGHI

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
186
Reaction score
401
Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09).

Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
 
Amekimbia kilometa ngapi kwa huo muda?

Tia nyama taarifa yako
 
Iyo ni mashine yenye umbo la kibinadamu. Hongera sana kwake.
 
Tatizo ni pale nilipoona anapokelewa na mzungu kwenye finishing. Nikajiuliza kwa nini mali ya kenya inapokelewa na Mzungu?
 
Wa nchi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…