Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club.

Kikosi cha Singida Black Stars dhidi ya Simba SC, Ligi Kuu ya NBC.

1. Amas Obasogie
2. ⁠Andre Cirille
3. ⁠Imoro
4. ⁠Anthony Tra Bi
5. Frank ⁠Asink
6. ⁠Kelvin Nashon
7. ⁠Arthur Bada
8. ⁠Morice Chukwu
9. ⁠Jonathan Sowah
10. Marouf ⁠Tchakei
11. ⁠Adebayor
 
Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club.
Lawama ziende kwa nani, wenyeji au wa kuja?
 
Huyu ni kiungo Bora wa chini kwa Sasa kwa wazawa
 
Inatakiwa sheria itungwe kuzibana timu zisitumie wachezaji wa kigeni zaidi ya watatu kwa mechi moja ya ligi ya ndani ili kuokoa mpira wa Tanzania.

Wachezaji wa kigeni wenye kiwango cha kawaida kabisa wamejazwa kwenye ligi yetu kitu kinachoua vipaji vya wachezaji wetu wazawa.
 
nakumbuka kanuni hiyo ilikuwepo ya idadi ya wageni na wazawa wanao takiwa kucheza, kumbe ilisha ondolewa? Uimara wa timu ya taifa itakuwa hatarini.
 
Back
Top Bottom