Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

Nasikia eti wakicheza na Yanga nyota wote huwa hawapangwi?😄😄😄
 
Comment yangu haijaquote mtu yoyote au wewe ni mleta mada kwa ID nyingine?
Nimeuliza hivyo sarcastically..Maana umenishangaza sana kusema huyo Nashon ndio kiungo bora kwa sasa kwa wazawa🤔.
 
Hivi Kagoma bado anacheza kweli kwenye ligi ya Tanzania?
Maana nina muda mrefu sasa sijafuatilia mpira.
Kama hufuatilii mpira ni kiherehere gani imekutuma uuileze hiyo swali
 
Back
Top Bottom