Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lawama ziende kwa nani, wenyeji au wa kuja?Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club.
Hivi we jamaa kichwani umejaza ugoloKIDOGO ALIMWE RED YULE
nakumbuka kanuni hiyo ilikuwepo ya idadi ya wageni na wazawa wanao takiwa kucheza, kumbe ilisha ondolewa? Uimara wa timu ya taifa itakuwa hatarini.Inatakiwa sheria itungwe kuzibana timu zisitumie wachezaji wa kigeni zaidi ya watatu kwa mechi moja ya ligi ya ndani ili kuokoa mpira wa Tanzania.
Wachezaji wa kigeni wenye kiwango cha kawaida kabisa wamejazwa kwenye ligi yetu kitu kinachoua vipaji vya wachezaji wetu wazawa.
NdioHivi we jamaa kichwani umejaza ugolo
NdioHivi we jamaa kichwani umejaza ugolo
NdioHivi we jamaa kichwani umejaza ugolo
NdioHivi we jamaa kichwani umejaza ugolo