Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga

Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga

Wachezaji wa bongo wengi huwa wanadanganya mwaka sahihi wa kuzaliwa kwa sababu waendelee kuwepo kazini , mtu ana miaka 35 anasema ana 22...

Timu nyingi kuna jamaa wana 40 plus... Bongo noma..
Sio bongo tu, haya mambo nadhani yalianzia West Afrika huko ndio yakasambaa nchi nyingine za Afrika. Mukwala na ule upara ati ana miaka 22!?
 
Back
Top Bottom