Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga

Kelvin Yondan mfano wa kuigwa,miaka 43 bado anakipiga.

Sijui yuko wapi ila mpaka mwaka jana aLikuwa Geita Gold akiwa bado miaka 43, kongole kwake kwakujitunza
Na juma nyosso bado anakipiga
 
Kaseja ana miaka 40. Kaseja namfahamu vizuri nje ya boli na amekuwa pamoja na bro wangu ambaye sasa hivi ana 40.
Kama kweli 1998 alikua ligi kuu, hawexi kua 40, labda hiyo 1998 unaifuta au unaikata kabisa kama alianza mpira na 20yrs 1998 sasa hivi 2024 ni umri gani huo
 
Wachezaji wa bongo wengi huwa wanadanganya mwaka sahihi wa kuzaliwa kwa sababu waendelee kuwepo kazini , mtu ana miaka 35 anasema ana 22...

Timu nyingi kuna jamaa wana 40 plus... Bongo noma..
Siyo Bongo tu ni Africa nzima kasoro mwarabu.
 
Kaseja ana miaka 40. Kaseja namfahamu vizuri nje ya boli na amekuwa pamoja na bro wangu ambaye sasa hivi ana 40.
Kaseja ana zaidi ya 40,Mimi Nina zaidi ya 40 lakini nisingweza kucheza ligi kuu 1999 Kama kaseja,nilikua nikimtazama namuona mkubwa kwangu
 
Kama kweli 1998 alikua ligi kuu, hawexi kua 40, labda hiyo 1998 unaifuta au unaikata kabisa kama alianza mpira na 20yrs 1998 sasa hivi 2024 ni umri gani huo
Kibongobongo huwezi cheza ligi kuu ukiwa chini ya miaka 20
 
Kaseja ana zaidi ya 40,Mimi Nina zaidi ya 40 lakini nisingweza kucheza ligi kuu 1999 Kama kaseja,nilikua nikimtazama namuona mkubwa kwangu
Mwaka 2003 wakati simba anacheza na zamalek kaseja alikuwa na miaka 18 piga hesabu mpaka leo ana miaka mingapi? Kama unabisha leta ushahidi unaoonesha ana miaka zaidi ya 40.
 
Nilitazama game zote za makundi za Simba,kaseja hakuwa na miaka 18,1999 Yuko moro united
 
Back
Top Bottom