Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi Uingereza ambako alianza kuishi na Rafiki wa Mama yake.
Kemi ana Degree ya Kwanza na ya pili ya katika Computer Systems Engineering. Pia ana Degree katika Sheria. Mdada huyu endapo ataendelea vizuri, ana nafasi kubwa ya kuwa Waziri wa Kwanza Mwenye Asili ya Africa katika Taifa hili ambalo ni moja ya Mataifa Makubwa yenye Ushawishi Duniani
Mdada huyu amemshinda mpinzani wake Robert Jenrick yeye akipata kura 53,806 (56.6%) dhidi ya Mr Jenrick aliypata 41, 212 (43.4%)
Screenshot (50).png


View: https://www.youtube.com/watch?v=a-CXq9auN9E
 
Ngoja tuone kule kwa Biden nini kitatokea.
 
Back
Top Bottom