Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayawi matamu kwasababu wanazidisha ingredientsHabari.
Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi Afiya...nk.
Naomba kufahamu upatikanaji wake, bei, muuzaji.
Ukiwa porini kunywa maji ya huko hautapata taabu.nategemea kufanya camping porini, nahitaji kit yakuweza kutibu maji tutakayokutana nayo huko porini yawe salama na yenye ladha nzuri ya kukata kiu
Area C ya wapi mkuu?Kuna muhindi yupo pale area C sime sikujua anachofanya kwenye maji chumvi yanakuwa matamu