kevylameck
Member
- Nov 3, 2013
- 18
- 19
"Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya.
Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji wa uzalishaji mali na upangaji wa maisha bora zaidi na ustawi wa vijana.
Vijana tujiandae kuhesabiwa."- Kenani Kihongosi,Katibu Mkuu UVCCM