Kenan Kihongosi: Sensa itaharakisha maendeleo kwa vijana

kevylameck

Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
18
Reaction score
19
"Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya.

Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji wa uzalishaji mali na upangaji wa maisha bora zaidi na ustawi wa vijana.

Vijana tujiandae kuhesabiwa."- Kenani Kihongosi,Katibu Mkuu UVCCM

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawa hua hawakosi sababu ...kenge wa kijani nyambafu kabisa ..eti usipo hesabika utakua unatumia huduma ya mwingine km vile hua wanatugawia hela ama sijui hua wanatupa msosi ngeke kabisa hawa
 
CCM ina vijana wa hovyo sana karne hii unaongea mambo ambayo hata watu wa karne ya Yesu wakifufuka ghafla watashangaa
 
"Kuwa na takwimu sahihi kuhusiana na watu ambazo zimechambuliwa na kuainishwa kwa makundi, ukubwa na mtawanyiko wa watu na makazi ni muhimu katika kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Niwaombe kujitokeza kuhesabiwa ifikapo jumanne ya August 23/2022"-Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha mapinduzi (UVCCM) Ndg Kenani Kihongosi
 
Acha kupost pumba
 
Huyu aendelee tu kuchapa watu viboko maana kichwani mwake zimo kidogo sana
 
Hivi huyu Kihongosi anajua anachoongea?
 
Mmezoea kuchezea akili za vijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…