Kenani Kihongosi amuwakilisha Daniel Chongolo kwenye Msiba wa Mke wa RC Martine Shigela

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo; aungana na viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi kwenye mazishi ya mke wa Mhe Martin Shigela Mkuu wa Mkoa wa Morogoro marehemu Bi. Magdalena Layda Anney Shigela Mkoani Shinyanga

Viongozi waliohudhuria ni Pamoja na mawaziri, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa wilaya; wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mke wa Shigela alifariki dunia Alhamis tarehe 19 Januari, 2022 Dar Es Salaam na kupumzishwa nyumbani kwake mkoani Shinyanga 24- Januari 2022.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.

IMG-20220125-WA0013.jpg

IMG-20220125-WA0009.jpg

IMG-20220125-WA0012.jpg
 
Kwa mwanaume kupiga goti mbele ya mwanaume mwenzie, hii ni dalili mbaya kwa mtoto wa kiume aiseeeee.....
David Cameron anatuharibia vijana.
R.i.P Mrs Rc Morogoro...😢
 
Mkuu unapoenda kumsalimia mfiwa na amekaa chini au kwenye kiti ni kawaida sana kuinama au kupiga goti ili aweze kukusikia.
 
Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo; aungana na viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi kwenye mazishi ya mke wa Mhe Martin Shigela Mkuu wa Mkoa wa Morogoro marehemu Bi. Magdalena Layda Anney Shigela Mkoani Shinyanga

Viongozi waliohudhuria ni Pamoja na mawaziri, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa wilaya; wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mke wa Shigela alifariki dunia Alhamis tarehe 19 Januari, 2022 Dar Es Salaam na kupumzishwa nyumbani kwake mkoani Shinyanga 24- Januari 2022.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.

View attachment 2094879

View attachment 2094880

View attachment 2094883
Kumbe hata ma CCM mnakufa basi endeleeni kuwategemea akina Kingai, Mahita na Goodluck apandacho mtu ndicho atakacho vuna, Mungu hadhihakiwi .
 
Mkuu unapoenda kumsalimia mfiwa na amekaa chini au kwenye kiti ni kawaida sana kuinama au kupiga goti ili aweze kukusikia.
Duhhh....
Kuinama tena..🤨
Basi sawa mkuu, nimekusikia...🤭
 
Back
Top Bottom