Kenani Kihongosi: CCM haiwezi kuondoka Madarakani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani.

"Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na Vyama vya siasa pia vitaongea kile ambacho wanatamani kuongea ili wapate ridhaa ya kuongoza nchi lakini leo hapa tulipoketi hapa ni kwa sababu ya Serikali ya CCM imeweka utulivu wa nchi hii. Serikali ya CCM imejegwa shule na vyuo na imetoa mikopo.

" Imejenga Miundombinu ya barabara, umeme, maji, hospitali za rufaa, Taifa. Watanzania wakiona vitu vyote wanaona CCM"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
 
Halafu ikiondoka watafanya nini? Inaaminika kwamba muungano wake na kiini cha dola ndio sababu wanasema haitatoka madarakani.

Enzi za JK walisema wanataka kujivua gamba. Tusichojua ni kwanini walishindwa kufanya hivyo. Ila mbele ya safari, sababu ya matakwa ya wakati na wananchi, CCM italazimika kujivua gamba.

Na pengine dola ikaamua kuongoza nchi kwa namna mbadala. Hii ya kusema statement ngumu ngumu kama hizi, ni kutimiza wajibu wa kisiasa. Sio wa kuamua hatma ya Tanzania itakuwaje.

Hatma ya watanzania iko mikononi mwa vizazi vyake. Tuombe heri ili vizazi vyetu viamue kwa usahihi...sababu kuna kila dalili ya kukataa kuendelea kuburuzwa
 
Kuondoka itaondoka! Watake wasitake. Sababu kila jambo lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Ni suala tu la muda.
Sijaona wa kuiondoa CCM labda yenyewe igawanyike. CCP ya China mpaka leo iko madarakani, hata Marekani tangia uhuru 1776 vyama vyao ni vilevile Democrat na Republican, hivi vyama vina mikakati ya kudumu siyo hao wenye hoja za kudandia matukio
 
Hapa nakubaliana na ww
 
Imetujengea hofu na mashaka kwa kuishi kwa wasiwasi.
Daima hatutaisahau kwa Madhila ya MO 29 RIP ccm
 
"CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani.

"Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na Vyama vya siasa pia vitaongea kile ambacho wanatamani kuongea ili wapate ridhaa ya kuongoza nchi lakini leo hapa tulipoketi hapa ni kwa sababu ya Serikali ya CCM imeweka utulivu wa nchi hii. Serikali ya CCM imejegwa shule na vyuo na imetoa mikopo.

" Imejenga Miundombinu ya barabara, umeme, maji, hospitali za rufaa, Taifa. Watanzania wakiona vitu vyote wanaona CCM"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Sijui lini, kwa namna gani, na nani atahusika kuiondoa, ila kama kanuni ya asili ilivyo " Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho"
Hutaki, au unataka wee kubaliana na asili tu. Tutaondoka tu. Mimi ni CCM.
 
Hakuna mwanzo usio na mwisho, atumie akili kutafakari na kuzungumza na siyo miguu
 
Back
Top Bottom