Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani.
"Unajua Watanzania wanajua wametoka wapi na CCM. Na Vyama vya siasa pia vitaongea kile ambacho wanatamani kuongea ili wapate ridhaa ya kuongoza nchi lakini leo hapa tulipoketi hapa ni kwa sababu ya Serikali ya CCM imeweka utulivu wa nchi hii. Serikali ya CCM imejegwa shule na vyuo na imetoa mikopo.
" Imejenga Miundombinu ya barabara, umeme, maji, hospitali za rufaa, Taifa. Watanzania wakiona vitu vyote wanaona CCM"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Sijaona wa kuiondoa CCM labda yenyewe igawanyike. CCP ya China mpaka leo iko madarakani, hata Marekani tangia uhuru 1776 vyama vyao ni vilevile Democrat na Republican, hivi vyama vina mikakati ya kudumu siyo hao wenye hoja za kudandia matukioKuondoka itaondoka! Watake wasitake. Sababu kila jambo lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Ni suala tu la muda.
We msukuma mshamba usiite watanzania mazuzu, ukome mbwa koko wewe. Sasa chama cha kuzira uchaguzi itashinda vipi? Hao nyumbu zero brain!kwa hiyo yale mazuzu yanao kwenda kupiga kura hua yanajichosha tu???Bora chadema wamekataa kushiriki uchaguzi wa kitaperi
Hapa nakubaliana na wwSijaona wa kuiondoa CCM labda yenyewe igawanyike. CCP ya China mpaka leo iko madarakani, hata Marekani tangia uhuru 1776 vyama vyao ni vilevile Democrat na Republican, hivi vyama vina mikakati ya kudumu siyo hao wenye hoja za kudandia matukio
Ushamba ndio jadi yangu wajuaji si ndio nyie....lakini na ushamba wangu huwezi kunidanganyaWe msukuma mshamba usiite watanzania mazuzu, ukome mbwa koko wewe. Sasa chama cha kuzira uchaguzi itashinda vipi? Hao nyumbu zero brain!
Sijui lini, kwa namna gani, na nani atahusika kuiondoa, ila kama kanuni ya asili ilivyo " Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho""CCM haina mshindani kwenye siasa. Tunashindana na wote ambao wamesajiliwa kisheria. Vyama Vya siasa vinasajukiwa na msajili yoyote aliyesajiliwa sisi wote ni mshindani wetu wa kisiasa. Na sioni Chama cha Mapinduzi CCM kikiondolewa madarakani.