Kenani Kihongosi: Rais Samia akishambulia, tumeshambuliwa Watanzania wote

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote, akisisitiza umuhimu wa kulinda umoja na amani ya taifa.

Akizungumza wilayani Muleba, mkoani Kagera, Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kuungana na "wahuni" ambao, kwa mujibu wake, wanafadhiliwa ili kuvuruga nchi.

“Kuna watu wanalipwa kuharibu nchi yetu. Tusiitende dhambi ya kuipasua nchi hii vipande vipande. Mungu atatubariki na vizazi vijavyo vitafurahia matunda ya amani na utulivu,” amesema.

Aidha, amesisitiza kuwa watanzania wana jukumu la pamoja kulinda utulivu wa nchi na kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali.
 
Labda watanzania wote wa lumumba
 
Raisi Mwanamke! Hana mvuto wa kiuongozi, haonyeshi kwamba nafasi ile ipo kwa mwanamke.
Amewaangusha sana wanawake wenzake, huko mbele tutakuja kushindwa waamini wanawake na tutakuja na hoja ya msingi. 😁
Tutakuwa na historia ya kumpa mwanamke nchi na akapuyanga.
 
vizazi vijavyo vitafurahia matunda ya amani na utulivu,” amesema.
Hao wahuni huwa hawaongelei HAKI. Haki ikikosekana amani na utulivu vinakuwa bandia tu. Msingi wa kweli wa amani na utulivu ni Haki
 
Raisi Mwanamke! Hana mvuto wa kiuongozi, haonyeshi kwamba nafasi ile ipo kwa mwanamke.
Amewaangusha sana wanawake wenzake, huko mbele tutakuja kushindwa waamini wanawake na tutakuja na hoja ya msingini. Tutakuwa na historia ya kumpa mwanamke nchi na akapuyanga.
Ulitegemea mwanamke kupewa nafasi kubwa km hiyo angefanya lipi la maana mkuu? Mambo mengine tusitumie nguvu kubwa kwenda against nature
 
Watu wote? mthrfck!!!
Kijongozi, kuna siku utafukiwa kama Lukuvi. Ikumbuke kesho yako ya kaburi na acha kiburi.
Huniri haki na Amani itatawala na si mambo ya kumtukuza Rais. Samia ni Mtu kama wewe na mimi na yule!
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote, akisisitiza umuhimu wa kulinda umoja na amani ya taifa.

Akizungumza wilayani Muleba, mkoani Kagera, Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kuungana na "wahuni" ambao, kwa mujibu wake, wanafadhiliwa ili kuvuruga nchi.

“Kuna watu wanalipwa kuharibu nchi yetu. Tusiitende dhambi ya kuipasua nchi hii vipande vipande. Mungu atatubariki na vizazi vijavyo vitafurahia matunda ya amani na utulivu,” amesema.

Aidha, amesisitiza kuwa watanzania wana jukumu la pamoja kulinda utulivu wa nchi na kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali.
View attachment 3564003
Nope nope nope hatuwez kununua madhaifu na ugomvi wa mtu mwingi kuufanya wetu sote.

Akivuruga yeye amevuruga yeye
 
Raisi Mwanamke! Hana mvuto wa kiuongozi, haonyeshi kwamba nafasi ile ipo kwa mwanamke.
Amewaangusha sana wanawake wenzake, huko mbele tutakuja kushindwa waamini wanawake na tutakuja na hoja ya msingi. 😁
Tutakuwa na historia ya kumpa mwanamke nchi na akapuyanga.
Mimi sio muumini wa uongozi wa kijinsia, lakini Samia hajapewa urais na watanzania, bali ni kupitia kifo cha Magufuli, na juzi akapora uchaguzi baada ya mauaji makubwa ya kutisha.
 
Mie anitoe kwenye hiyo list kwakweli ya kwamba nakuwa mmoja ya walio shambuliwa. Bado nasikia ushunguuu sana kwa waliyotokea 29 October, wale ndio nilishambuliwa nao
 
Mimi sio muumini wa uongozi wa kijinsia, lakini Samia hajapewa urais na watanzania, bali ni kupitia kifo cha Magufuli, na juzi akapora uchaguzi baada ya mauaji makubwa ya kutisha.
Huyu maza amezingua sana. Ameniondolea kabisa mwamko niliokuwa nao kuhusu support ya uongozi wa akina mama.

What a man can do? a woman can do better........... Read that again...
 
Back
Top Bottom