akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Watz hatuhusiki na matatizo ya samuya, kila mtu ashinde mechi zake!.
Mimi anitoe humo, mpumbavu mkubwa huyu!Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote, akisisitiza umuhimu wa kulinda umoja na amani ya taifa.