Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025 | JamiiForums Leo ni siku maalum ya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kukusudia Oktoba 29, 2025mashambulizi dhidi ya Watanzania wote,
Labda watanzania wote wa lumumbaKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote, akisisitiza umuhimu wa kulinda umoja na amani ya taifa.
Akizungumza wilayani Muleba, mkoani Kagera, Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kuungana na "wahuni" ambao, kwa mujibu wake, wanafadhiliwa ili kuvuruga nchi.
“Kuna watu wanalipwa kuharibu nchi yetu. Tusiitende dhambi ya kuipasua nchi hii vipande vipande. Mungu atatubariki na vizazi vijavyo vitafurahia matunda ya amani na utulivu,” amesema.
Aidha, amesisitiza kuwa watanzania wana jukumu la pamoja kulinda utulivu wa nchi na kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali.
Hao wahuni huwa hawaongelei HAKI. Haki ikikosekana amani na utulivu vinakuwa bandia tu. Msingi wa kweli wa amani na utulivu ni Hakivizazi vijavyo vitafurahia matunda ya amani na utulivu,” amesema.
Ulitegemea mwanamke kupewa nafasi kubwa km hiyo angefanya lipi la maana mkuu? Mambo mengine tusitumie nguvu kubwa kwenda against natureRaisi Mwanamke! Hana mvuto wa kiuongozi, haonyeshi kwamba nafasi ile ipo kwa mwanamke.
Amewaangusha sana wanawake wenzake, huko mbele tutakuja kushindwa waamini wanawake na tutakuja na hoja ya msingini. Tutakuwa na historia ya kumpa mwanamke nchi na akapuyanga.
Kijongozi, kuna siku utafukiwa kama Lukuvi. Ikumbuke kesho yako ya kaburi na acha kiburi.Watu wote? mthrfck!!!
Bro, huyu dogo amekuchefua asubuhi asubuhi kweli!!Watu wote?
Nope nope nope hatuwez kununua madhaifu na ugomvi wa mtu mwingi kuufanya wetu sote.Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote, akisisitiza umuhimu wa kulinda umoja na amani ya taifa.
Akizungumza wilayani Muleba, mkoani Kagera, Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kuungana na "wahuni" ambao, kwa mujibu wake, wanafadhiliwa ili kuvuruga nchi.
“Kuna watu wanalipwa kuharibu nchi yetu. Tusiitende dhambi ya kuipasua nchi hii vipande vipande. Mungu atatubariki na vizazi vijavyo vitafurahia matunda ya amani na utulivu,” amesema.
Aidha, amesisitiza kuwa watanzania wana jukumu la pamoja kulinda utulivu wa nchi na kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali.
View attachment 3564003
Ni yeye peke yake, msituhusishe watu wa ukoo wake kwenye upuuzi please 😁Ni yeye na ukoo wake, tusiingizane kwenye makundi ya kipumbavu.
Mimi sio muumini wa uongozi wa kijinsia, lakini Samia hajapewa urais na watanzania, bali ni kupitia kifo cha Magufuli, na juzi akapora uchaguzi baada ya mauaji makubwa ya kutisha.Raisi Mwanamke! Hana mvuto wa kiuongozi, haonyeshi kwamba nafasi ile ipo kwa mwanamke.
Amewaangusha sana wanawake wenzake, huko mbele tutakuja kushindwa waamini wanawake na tutakuja na hoja ya msingi. 😁
Tutakuwa na historia ya kumpa mwanamke nchi na akapuyanga.
Huyu maza amezingua sana. Ameniondolea kabisa mwamko niliokuwa nao kuhusu support ya uongozi wa akina mama.Mimi sio muumini wa uongozi wa kijinsia, lakini Samia hajapewa urais na watanzania, bali ni kupitia kifo cha Magufuli, na juzi akapora uchaguzi baada ya mauaji makubwa ya kutisha.