Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 142
- 88
Inategemeana naSwalama wanajamvi?
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Wiki nne zilizopita Nilifunga mbao za kench ktk site yangu na kuoda bati alaf. ila bati bado hazijatoka nimeambiwa nitegemee zitatoka ndani ya wiki tatu zijazo. na mvua za masika ndio naona zimeanza hapa Dar. Sasa naingia wasiwasi kama kenchi zinaweza kuharibika. Naombeni ushauri wadau kama kweli zinaharibika zikikaa sana na je nifanye nini kuzuia uhatibifu.
Wasalaam
Nyumba iko Dar na nimetumia mbao zenye dawa. Ila ni mbao za dawa ya kuchovya sio zile za kuchemshaInategemea na aina ya mbao ulizotumia na hali ya hewa
Huwa zinapinda na mvua ikizinyeshea zinaweza kuoza.Nyumba iko Dar na nimetumia mbao zenye dawa. Ila ni mbao za dawa ya kuchovya sio zile za kuchemsha
Haisee!!! Zimeshanyeshewa tayari. DahHuwa zinapinda na mvua ikizinyeshea zinaweza kuoza
Hata zikanyeshewa mvua wiki tatu mfululizo?Wiki tatu sio kesi ingekuwa mwaka mzima ingeleta shida.
Kumbe upo Dar ambako Kuna viwanda kila sehemu afu unasema umetoa order kupata baada ya wiki tatu kweli na viwanda vimejaa huko na je wamikoani watasemaje.Swalama wanajamvi?
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Wiki nne zilizopita Nilifunga mbao za kench ktk site yangu na kuoda bati alaf. ila bati bado hazijatoka nimeambiwa nitegemee zitatoka ndani ya wiki tatu zijazo. na mvua za masika ndio naona zimeanza hapa Dar. Sasa naingia wasiwasi kama kenchi zinaweza kuharibika. Naombeni ushauri wadau kama kweli zinaharibika zikikaa sana na je nifanye nini kuzuia uharibifu.
Nyumba iko Dar na nimetumia mbao zenye dawa. Ila ni mbao za dawa ya kuchovya sio zile za kuchemsha
Wasalaam
Mkuu, kuwepo viwanda vingi Dar sio kigezo cha kununua bati ilimradiKumbe upo Dar ambako Kuna viwanda kila sehemu afu unasema umetoa order kupata baada ya wiki tatu kweli na viwanda vimejaa huko na je wamikoani watasemaje.
AngalauBora zinyeshewe mvua mfululizo kuliko jua maana zikipigwa jua huanza kukauka na kupinda.
Wewe usitake kumuingiza chaka mwenzio , kikawaida kulingana na ubora wa bati za ALAF huwa na msururu wa wateja wengi hivyo huwezi kwenda leo alafu leoleo ukapata mzigo wako, lazima uweke order kisha wakupatie invoice uende bank kulipia alafu uwapelekee receipt ya malipo kiwandani, kisha sasa ndio waanze kushughulikia order yako.Kumbe upo Dar ambako Kuna viwanda kila sehemu afu unasema umetoa order kupata baada ya wiki tatu kweli na viwanda vimejaa huko na je wamikoani watasemaje.
Kama mfuko wako unaruhusu nunua Nylon kisha funika juu ya mbao zako, by the way week tatu kama mvua hainyeshi kila siku siyo shi
AiseeHiyo siyo dawa ya mbao, hiyo ni rangi ya ukili na mara nyingine wanatumia food color
Hapana mkuu niko sahihi kabisa. Kwa bati za alaf ambazo zinauzwa kwa sqm na zinapatikana kwa foleni lazima uweke kenchi kwanza upime ukubwa kujua kiasi exactly kipimo cha bati zitakazohitajika kisha unaweka oda kiwandani. Vinginevyo unawezanunua bati chache kuliko uhitaji au ukanunua bati nyingi zana kuliko uhitaji ukala hasaraPole sana ila umefanya makosa kiasi chake, ingependeza kama ungenunua bati kwanza kisha ndo mbao. mawazo tu lakini
ShukranKwa suala lako la muda mfupi vumilia tu - uombe (a) hao wa bati wasikucheleweshe zaidi na (b) hali ya hewa iwe rafiki kwa siku zilizobaki.