Kenchi ikikaa muda gani bila bati inaharibika

Kipind ndo najenga nyumba yangu ya Kwanza nliwahi fanya kosa Kama lako.

Niliambiwa nsubiri bati alaf wiki 2, bati zikaja baada ya miez miwili.

Nilijuta,

Mbao hazikuoza maana nlitumia mti was porini be(mlingoti).

Tatizo zilikauka na zikapinda mno.

Hata ata wakati wa kupiga bati fundi alipata shida Sana,

Sehem zilizobinuka alilazimika kupachimba, palipo bonyea alilazimika kupachika vibao na kuinua lati.

Ugongaji ulkua wa shida mno.
maana ata misumari haipenyi kiurahisi. Akigonga inapinda.

Ile gonga gonga,misumari inapinda, anachomoa anaweka mwingine.
Ilisababisha paa likavuja.

Nlitumia gharama kubwa kuziba matobo.

Ushauri wangu, kwako- ningeomba kujua kwanza umetumia mti aina gani kugonga kenchi ili nijue naanzia wapi
 
Nauliza wataalam wakupaua,
Je slope ndogo au kubwa inamaana gani ktk kupaua?
Mfano 35 vs 38 n.k maana yake ni ipi?
 
Kipind ndo najenga nyumba yangu ya Kwanza nliwahi fanya kosa Kama lako.

Niliambiwa nsubiri bati alaf wiki 2, bati zikaja baada ya miez miwili.

Nilijuta,

Mbao hazikuoza maana nlitumia mti was porini be(mlingoti).

Tatizo zilikauka na zikapinda mno.

Hata ata wakati wa kupiga bati fundi alipata shida Sana,

Sehem zilizobinuka alilazimika kupachimba, palipo bonyea alilazimika kupachika vibao na kuinua lati.

Ugongaji ulkua wa shida mno.
maana ata misumari haipenyi kiurahisi. Akigonga inapinda.

Ile gonga gonga,misumari inapinda, anachomoa anaweka mwingine.
Ilisababisha paa likavuja.

Nlitumia gharama kubwa kuziba matobo.

Ushauri wangu, kwako- ningeomba kujua kwanza umetumia mti aina gani kugonga kenchi ili nijue naanzia wapi
Nashukuru kwa ushauri wako, ila bati imeshatoka na tumeshapiga bati ktk kenchi. Na so far mbao hazikua zimepata madhara yoyote ( kenchi imekaa siku 28 kabla ya kugonga bati)

Pole kwa masaibu yaliyokupata
 
Mmekariri ALAF tu ,kuna kampuni nyingi sana za mabati yenge quality nzuri tu,wala hazipauki...kuweka mbao mwezi mzima ni hatari kwa usalama wa mbao bora ungekuwa umeweka zile nene za kupimwa ila sio hizo za rangi ya ukili.
 
Safi sana mkuu ulitumia mbao gani mkuu?
 
Mmekariri ALAF tu ,kuna kampuni nyingi sana za mabati yenge quality nzuri tu,wala hazipauki...kuweka mbao mwezi mzima ni hatari kwa usalama wa mbao bora ungekuwa umeweka zile nene za kupimwa ila sio hizo za rangi ya ukili.
Sema bati za ALAF ni nzuri mno. Unadhani bati gani za kufikia ubora wa ALAF?
 
Nyumba iko Dar na nimetumia mbao zenye dawa. Ila ni mbao za dawa ya kuchovya sio zile za kuchemsha
Hizo mbao ni Pines au Eucalyptus? Kama ni pines kupinda sio rahisi, ila mbao za Eucalyptus huwa zinapinda.
 
Pole sana ila umefanya makosa kiasi chake, ingependeza kama ungenunua bati kwanza kisha ndo mbao. mawazo tu lakini
Mafundi walio wengi huwa hawawezi kufanya estimations kabla ya kupiga kenchi. Lakini bado naona yupo salama kwa kazi aliyokwisha ifanya....
 
Mmekariri ALAF tu ,kuna kampuni nyingi sana za mabati yenge quality nzuri tu,wala hazipauki...kuweka mbao mwezi mzima ni hatari kwa usalama wa mbao bora ungekuwa umeweka zile nene za kupimwa ila sio hizo za rangi ya ukili.
Ila huwa najiuliza zile bati wameezekea Mabibo Hostel ni za kampuni gani? Maana tangu 2002 hadi leo zipo katika ubora wake.
 
Hivi Mabibo ilijengwa 2002? Sio 1998 au 1999? Kipindi hiko wakati inajengwa Nyerere alikuwepo watu walikuwa sio wezi.
 
Hapana mkuu niko sahihi kabisa. Kwa bati za alaf ambazo zinauzwa kwa sqm na zinapatikana kwa foleni lazima uweke kenchi kwanza upime ukubwa kujua kiasi exactly kipimo cha bati zitakazohitajika kisha unaweka oda kiwandani. Vinginevyo unawezanunua bati chache kuliko uhitaji au ukanunua bati nyingi zana kuliko uhitaji ukala hasara
Fundi wako ndo hajielewi. Yaani anashindwa kupima urefu wa nyumba na kufanya makisio sahihi? Mbona Mimi nimefanyiwa makisio kwa kupima nyumba na bati imebaki moja tu? Huyo fundi anaweza asiwe mzoefu wa kupaua. Nini kinashindikana Kama ana ramani ya nyumba?
 
Hapana mkuu niko sahihi kabisa. Kwa bati za alaf ambazo zinauzwa kwa sqm na zinapatikana kwa foleni lazima uweke kenchi kwanza upime ukubwa kujua kiasi exactly kipimo cha bati zitakazohitajika kisha unaweka oda kiwandani. Vinginevyo unawezanunua bati chache kuliko uhitaji au ukanunua bati nyingi zana kuliko uhitaji ukala hasara
Nakupinga kidogo ndo maana nyumba inafanyiwa makadirio kabla ya ujenzi
 
Unakuwa sio muelewa, makadirio yanayofanyika kabla ya ujenzi ni ya size standard ya mabati. Mfano kama makadirio ni bati 70 maana yake ni bati 70 za meter 3. Ila hizi za kupima baada ya kupiga kenchi huwa zinapimwa bati za urefu tofauti pungufu au zaidi ya meter 3. Hivyo vipimo unapeleka alaf na bati zako zikija wewe ni kugonga tu hakuna hata kukata ili kupunguza urefu etc.
 
Wewe usitake kumuingiza chaka mwenzio , kikawaida kulingana na ubora wa bati za ALAF huwa na msururu wa wateja wengi hivyo huwezi kwenda leo alafu leoleo ukapata mzigo wako, lazima uweke order kisha wakupatie invoice uende bank kulipia alafu uwapelekee receipt ya malipo kiwandani, kisha sasa ndio waanze kushughulikia order yako.

Nadhani umeelewa sasa utaratibu wa kupata bati za ALAF
Ni kweli usemayo,Nakumbuka kuna mtu alienda pale wakasema Alaf hawauzi bati zao isipokuwa kwa maa agent wao,je iyo nayo ni kweli
 
Back
Top Bottom