Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Mwenye dhambi ni uyo aliemcompare jermaine na meek mill sio k. dot na jermaine.Hatujakataa ni noma mkuu Ila kumlinganisha na k.dot ni dhambi kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye dhambi ni uyo aliemcompare jermaine na meek mill sio k. dot na jermaine.Hatujakataa ni noma mkuu Ila kumlinganisha na k.dot ni dhambi kubwa
K. Dot ayupo izo level za kusema kumfananisha yeye na j cole ni dhambi, otherwise uwe na mahaba yaliyopitiliza.Hatujakataa ni noma mkuu Ila kumlinganisha na k.dot ni dhambi kubwa
[emoji2] [emoji2] bruh ungesema tu k. Dot ni zaidi ya j cole ungesomeka vizuri tu aya mengine unatuchanganyia mada tu, iyo nyimbo ni ya Beyonce wala sio jermaine.kendrick katika wale mainstream rappers hakuna wa kushindana nae kwa mashairi. kina drake, meek mill, big sean wote ni mainstream rappers wanatunga mashairi mepesi ili kupata radio play. japo jcole sometimes ana lyrics ngumu ila bado sana hajafika kwa Kendrick mtu yoyote anaefatilia hip hop anajua hilo. ukitaka kumpambanisha Kendrick kwa mashairi labda utafute watu ambao ni underground kidogo kama royce da 59, jay electronica, black thought, talib kweli. .....ndo mana kdot anakubalika sana coz anatoa nyimbo ngumu na bado anapata radio play na album zake zinauza sana. tena hategemei collabo. nyimbo zote za kdot ambazo zime HIT amefanya pekeyake (king kunta, alright, swimming pools, kill my vibe) jcole nyimbo yake ambayo ili hit sana alimshirikisha beyonce. mtu kama meek mill anategemea kamshirikisha niki minaj na cris brown ndo nyimbo ipigwe kwenye radio....salute kwa king Kendrick
well said mkuukendrick katika wale mainstream rappers hakuna wa kushindana nae kwa mashairi. kina drake, meek mill, big sean wote ni mainstream rappers wanatunga mashairi mepesi ili kupata radio play. japo jcole sometimes ana lyrics ngumu ila bado sana hajafika kwa Kendrick mtu yoyote anaefatilia hip hop anajua hilo. ukitaka kumpambanisha Kendrick kwa mashairi labda utafute watu ambao ni underground kidogo kama royce da 59, jay electronica, black thought, talib kweli. .....ndo mana kdot anakubalika sana coz anatoa nyimbo ngumu na bado anapata radio play na album zake zinauza sana. tena hategemei collabo. nyimbo zote za kdot ambazo zime HIT amefanya pekeyake (king kunta, alright, swimming pools, kill my vibe) jcole nyimbo yake ambayo ili hit sana alimshirikisha beyonce. mtu kama meek mill anategemea kamshirikisha niki minaj na cris brown ndo nyimbo ipigwe kwenye radio....salute kwa king Kendrick
K.dot na Jermaine ni tofaut KBSK. Dot ayupo izo level za kusema kumfananisha yeye na j cole ni dhambi, otherwise uwe na mahaba yaliyopitiliza.
Sikiliza hizo ngoma chache nlizopost hapo. Too bad, hujawah mskia k.dot?J.COLE NI HATAREE AISEE JAPO HUYO JAMAA MNAYEMSIFIA SIJAWAHI KUMSIKIA
Labda uko busy kwenye upolisi jamii.. Hujawahi msikia Kendrick??????J.COLE NI HATAREE AISEE JAPO HUYO JAMAA MNAYEMSIFIA SIJAWAHI KUMSIKIA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda uko busy kwenye upolisi jamii.. Hujawahi msikia Kendrick??????
ReppinView attachment 351534west side
Hii ni kweli kabisa!Kendrick kwenye tungo huwezi mfananisha na J Cole tuache masikhara sema mziki wa kendrick ni wa kusikiliza kwa makini mpaka umuelewe kitu ambacho wasikilizaji wengi hawapendi kujisumbua kusikiliza
Mbona kitambo tu.Kendrick ameanza kusuka jamani..wiz khalifa alianza ivyo ivyo..Mungu amsaidie asifike huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjiñga ww fakeniWhat kendrick good he did is he came with his own style and flow....but he isnt the best to ever do it jay z gotta good flow and eminem is the wordsmith he got good wordplay but in overal kendrick is better that many cats that are overated like wayne and drake!!maaaan **** wayne am doper than his ass.....and kuna guys kama King los and Logic they are good