Kendrick Lamar katika ubora wake

kendrick katika wale mainstream rappers hakuna wa kushindana nae kwa mashairi. kina drake, meek mill, big sean wote ni mainstream rappers wanatunga mashairi mepesi ili kupata radio play. japo jcole sometimes ana lyrics ngumu ila bado sana hajafika kwa Kendrick mtu yoyote anaefatilia hip hop anajua hilo. ukitaka kumpambanisha Kendrick kwa mashairi labda utafute watu ambao ni underground kidogo kama royce da 59, jay electronica, black thought, talib kweli. .....ndo mana kdot anakubalika sana coz anatoa nyimbo ngumu na bado anapata radio play na album zake zinauza sana. tena hategemei collabo. nyimbo zote za kdot ambazo zime HIT amefanya pekeyake (king kunta, alright, swimming pools, kill my vibe) jcole nyimbo yake ambayo ili hit sana alimshirikisha beyonce. mtu kama meek mill anategemea kamshirikisha niki minaj na cris brown ndo nyimbo ipigwe kwenye radio....salute kwa king Kendrick
 
[emoji2] [emoji2] bruh ungesema tu k. Dot ni zaidi ya j cole ungesomeka vizuri tu aya mengine unatuchanganyia mada tu, iyo nyimbo ni ya Beyonce wala sio jermaine.
 
well said mkuu
 
Who said black man in illuminati? Last time I checked that was the biggest racist party, so get off your slave ships,build your own pyramids, write your own hieroglyphs.....
 
Mjiñga ww fakeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…