Kendrick Lamar kawafunika legends?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Je amefika level za malengends kwenye mziki wa hip hop?
Kawafunika?
Nikisikiliza nyimbo zake naona jamaa anajua mno
 
Kila mtu ana mda wake wa kutamba,kipindi hiki yeye ndo anajua huwezi ukalinganisha era mbili tofauti.

Na yeye ikifika wakati wake watu watamkubuka kwa ulegend wake.
 
Naona ma boy j.Cole amepoa kimtindo.

Y'all fellas gotta know Kendrick is 2pac wannabe!

actually he's overrated and he ain't got no sh!!!t of his own!
 
Be humble " hatareee sana Kendrick kwa saiv hakna waku msogelea, j,cole kwa mbali....
 
Kendrick huyu jamaa ni shetani wa hip hop anajua mpaka hupenda kila nyimbo ya Lamar niskilize.
 
Kendrick anajua, tena si kitoto anahitaji kutumia muda kidogo kuwafikia baadhi ya legends..

Naona j cole kakata moto, kwangu j cole ni hatari mnoo, ila ndio hvyo juhudi na media ndio zinamuweka mtu mahali pazuri.
 
Ile verse kwenye Control ndipo alipoonyesha kwamba yy in mwamba
 
Kendrick Lamar... J Cole... Drake... Salute kwao. Damn, 4 ur eyes only, more life... Albums hatar. Jay Z 4:44 cjaikubal
 
Kendrick Lamar... J Cole... Drake... Salute kwao. Damn, 4 ur eyes only, more life... Albums hatar. Jay Z 4:44 cjaikubal
Drake? Album ya mwisho nzuri ya Drake ni Nothing was the same izi zingine alizotoa baada hapo ni takataka tu
 
Kendrick anajua, tena si kitoto anahitaji kutumia muda kidogo kuwafikia baadhi ya legends..

Naona j cole kakata moto, kwangu j cole ni hatari mnoo, ila ndio hvyo juhudi na media ndio zinamuweka mtu mahali pazuri.
J cole sio msanii wa media na izi social networks yeye amejitenga navyo sn mpaka uje kumckia anatoa album au yupo tour ila angekuwa yupo close na media angekuwa mbali
 
J cole sio msanii wa media na izi social networks yeye amejitenga navyo sn mpaka uje kumckia anatoa album au yupo tour ila angekuwa yupo close na media angekuwa mbali
Sure mkuu
 
tuache yote.Mbabe ni MEEKMILL..Kuanzia Album mpaka Mixtape.
[HASHTAG]#free meekmill[/HASHTAG]
 
"I heard the barbershops doing debates all all of the time, now who's the best Mc Kendrick Jigga and Nas, Eminem Andre 3000 the rest of y'all" kwangu hizi lines zilinionesha wazi kwamba Kendrick yuko level za hao wakubwa alowataja with exception ya PAC na Biggie. Hawa.new niggaz hawamuwezi Kendrick. Kwo yeye mwenyewe anakiri indirectly kwamba bado hajawapita level hao legends. Na ipo Ivo mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…