Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drake? Album ya mwisho nzuri ya Drake ni Nothing was the same izi zingine alizotoa baada hapo ni takataka tuKendrick Lamar... J Cole... Drake... Salute kwao. Damn, 4 ur eyes only, more life... Albums hatar. Jay Z 4:44 cjaikubal
J cole sio msanii wa media na izi social networks yeye amejitenga navyo sn mpaka uje kumckia anatoa album au yupo tour ila angekuwa yupo close na media angekuwa mbaliKendrick anajua, tena si kitoto anahitaji kutumia muda kidogo kuwafikia baadhi ya legends..
Naona j cole kakata moto, kwangu j cole ni hatari mnoo, ila ndio hvyo juhudi na media ndio zinamuweka mtu mahali pazuri.
Sure mkuuJ cole sio msanii wa media na izi social networks yeye amejitenga navyo sn mpaka uje kumckia anatoa album au yupo tour ila angekuwa yupo close na media angekuwa mbali