C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
Forest Hill nadhani sasa umeona nguvu ya KDOT ukilinganisha na hao wasanii wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwenyeNakumbuka verse ya Kendrick kwenye ngoma ya control ya Big Sean, aisee nahisi hata Sean mwenyewe alivyokuja kuisikiliza verse ya Kdot alitamani ARUDI upya studio but it was too late.
J Cole sio drake mzeeForest Hill nadhani sasa umeona nguvu ya KDOT ukilinganisha na hao wasanii wenu
Kendrick alishaji-declare kua yeye kwasasa ndio king of NYKwenye
J Cole sio drake mzee
NY tena!!!Kendrick alishaji-declare kua yeye kwasasa ndio king of NY
I'm important like the pope, I'm a muslim on porkNY tena!!!
Unless it is sarcasm
Lamar is from Cali
I'm important like the pope, I'm a muslim on pork
I'm Makaveli's offspring, I'm the king of New York
King of the Coast, one hand, I juggle them both
Naelewa mkuu ,ukicheck hiyo verse hapo, amejitaja yeye ni king of NY, na NI king of the coastKama alivyosema nyabhingi hiyo ni Sarcasm,kama Khaligraph alivyotoa Freestyle BEST RAPPER IN NAIJA..kwamba yeye ndio king wa Nigeria,, Kendrick katokea Compton,East Coast
😳Mbupu