Lorenzo1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 530
- 641
Hahahaha Braza bwana!
Hata bongo hapa kuna watu wana IQ kubwa sanaaa sanaaaa!
Sema shida yetu ni kwamba tunafanya vitu kwa tamaa, ubinafsi na kukomoana.
Hatuna visima vya kuteka vipaji kama hawa jamaa walivyo . Tuna macho lakini hatutambui vipaji hata tukiviona, tunamkubali mtu ana kipaji cha kuimba mpaka awe anafanya aina fulani fulani za muziki ambayo sisi tunaitaka (To me this is very wrong); Kwasababu inaua Originality na Creativity mwishowe tunakua na muziki yebo yobo usio na Identity.
kweli bro ila km umesoma vizuri apo ndomana nikasema lifestyle pia limetuaffect...kwakua ao wenye iq kubwa unakuta wamezungukwa na wajinga wengi mwsho wa siku idea zinalala