Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Speechless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze na Harmonize! Mosi, inaonekana umechanganya madesa kati ya wimbo wa Matatizo na Niambie!Malcom wasanii wetu naweza sema hawajui kuvaa uhalisia au wanatufanya tusione uhalisia wa kitu wanachofanya!.. Hebu cheki ile nyimbo ya Harmonize ile matatizo anataka tuone kapigika lakini anavaa fashion ya wakati huo!..Huyo ni mfano tu sasa uje ukutane na wasanii wanaact kama choka mbaya lakini kichwani wana dreadlocks wana nguo zipo vizuri!..
Unajua kuna watu wengine huwa tunaangalia na mandhari iliyotumika ili kurelate kama kinachoimbwa kinalingana!..
Ukimcheki Kendrick Lamar kwenye video zake huwa yupo soo simple lakini anazipa uniqueness flani hasa kama kwenye All the Light, Alright, Humble, DNA na ile nyimbo na drake!..
Sasa ukija kwetu unaona kabisa huyu mtu either ushamba au hajiamini, hebu mcheki Diamond kwenye ile nyimbo na Ne-yo pale anashuka gari, anashangaa demu kwenye traffic lights, anaingia ndani.
Labda mie pekee ndio naziona hizi scene za kujishtukia wasanii wetu!..
-wick
Kifupi Hujaelewa content niliyoiongelea, rudia kuisoma!..Tuanze na Harmonize! Mosi, inaonekana umechanganya madesa kati ya wimbo wa Matatizo na Niambie!
Na ndio maana ukiiangalia vizuri, mwisho mwisho Ne-Yo anamgutua Diamond kutoka kwenye hizo ndoto!
Speechless
Sijaelewa wapi?!Kifupi Hujaelewa content niliyoiongelea, rudia kuisoma!..
Huyo Wamwiduka anaimba nini ??
Wewe hujaiangalia mkuu,bado upo 3gWhaaat ??
Ancient Africa ??
Umeiangalia hata Black Panther yenyewe mkuu ??
Wewe hujaiangalia mkuu,bado upo 3g
Hahahahahahahahaha!Huyu jamaa kiukwel mwache achukue grammys tuu,daah,ujue nilikua sjaona hii video,wala kuskia huu mwimbo,kwel Tz ya sasa si ile,mi si wakutokuona hii video kwakwel.daah,
Vyuma achia kidogo bas
Hii video ilivyotengenezwa imeniacha mdomo wazi na wala sichoki kuiangalia,
Wanasema kuna vitu ameiba lakini niseme tu kwamba ubunifu uliotumika hapa ni wa kiwango cha hali ya juu sanaa. Ameitengenezea katika mazingira ya Kiafrika na bado umebamba sana: Hasashasa ukiongezea kile alichoimba na beat iliyotumika ndiyo hatari kabisaa.
NB: Hakika wasanii wetu wana kitu cha kujifunza hapa,
Siyo lazima kila video iwe na Lamborghini, Ferrari, Chevy Impala, Majumba ya kifahari au ifanyiwe nje ya nchi ili iwe nzuri. Japo naomba nieleweke kwamba sisemi kufanya hivi ni vibaya kabisa, lakini mara nyingine tunahitaji kujaribu vitu vya kitofauti ambavyo vitafanya muziki wetu uwe wa kipekee. Magari ya kifahari na majumba wasanii karibia dunia nzima ndiyo wanayatumia, sasa ni wakati tufanye kama Wahindi na nyimbo zao ambazo zinawapa Utofauti sanaaa na watu wengine.
CC: Red Giant , Benny , wick, travis 1
Wanasema fupi tamuNaunga mkono hoja, huu ni bonge la wimbo sema K kaharibu sehem mmoja tu. Kaimba beti moja tu hafu huyu dada kaimba pakubwa
Waafrika wabaguzi sana ila tunawasingizia wazungu wanatubagua, Mara watengeneze muvi ya mablack tupu Mara waunde TV ya mablack tupu 'bet', miafrika ni mibaguzi sana