myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ni fikra zamani tuliambiwa, hazina ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fikra zamani tuliambiwa, hazina ukweli.
SawasawaKenge shida ipo kwenye mifugo hasa kuku na mayai..kwa binadamu Hana ishu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
Ongezea: Anakula mayai na vifaranga vya kuku kwa hiyo atakusababishia hasara kubwa kama unafuga kuku wa mayai/nyama kibiasharaAnasababisha maumivu akikuchapa na mkia wake mengine sjui wadau wataongezea