Kenge ana madhara gani kwa Binadamu?

Kuna bwana mmoja alienda kukata kuni alivyochoka akalala kenge akatokea akamuingiza ulimi puani jamaa alivyoamka aliona kichwa chepesi alivyoenda hospital kuchekiwa akaonekana hana ubongo aliula wote kenge.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mwanangu umekuwa adimj sana sku hizi
 
Anasababisha maumivu akikuchapa na mkia wake mengine sjui wadau wataongezea
Ongezea: Anakula mayai na vifaranga vya kuku kwa hiyo atakusababishia hasara kubwa kama unafuga kuku wa mayai/nyama kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…