Kwa mtazamo wangu timu nayoona inaenda kuleta ushindani ni Pamba Fc tu, wanaujua uchungu wa kuwa nje ya ligi miaka 23,Wakishapanda watakuja kuwasajili kina kongwe Sabatho badala ya kutafuta wachezaji vipaji wenye morali wadogo wao watataka kwenda na wazee kisa uzoefu
Anyway kwa hao biashara na mbeya kwanza watarudi huko huko
Hakuna ushindani mwanza wanapigana fitna za hovyo sana kwenye soka utaona wanarudi walikokuwa na wanapotea mazimaHapo timu nayoona inaenda kuleta ushindani ni Pamba Fc tu, wanaujua uchungu wa kuwa nje ya ligi miaka 23,
Kengold wageni wa ligi wakileta mbwembwe wanashuka tena
Tunaomba uwanja ujengwe mbeya maana mbeya ndiko zinako toka timu za mipira,,, kongole kwao Kengold tunaomba na mbeya kwanza wapande nao!!!!Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao!
- KenGold FC
- Pamba FC
- Mbeya Kwanza FC
- Biashara United FC
- TMA FC
- Mbeya City FC
- Mbuni FC
- Polisi Tanzania FC
- Cosmopolitan FC
- FGA Talents FC
- Stand United FC
- Green Warriors FC
- Transit Camp FC
- Copco FC
- Pan Africans FC
- Ruvu Shooting FC
Ni kweli Mbeya imetoa timu kibaoWaambia
Tunaomba uwanja ujengwe mbeya maana mbeya ndiko zinako toka timu za mipira,,, kongole kwao Kengold tunaomba na mbeya kwanza wapande nao!!!!
Namuona Ruvu shooting anaongoza ligi kwanyumaKengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao
- KenGold FC
- Pamba FC
- Mbeya Kwanza FC
- Biashara United FC
- TMA FC
- Mbeya City FC
- Mbuni FC
- Polisi Tanzania FC
- Cosmopolitan FC
- FGA Talents FC
- Stand United FC
- Green Warriors FC
- Transit Camp FC
- Copco FC
- Pan Africans FC
- Ruvu Shooting FC
Hebu tuone na timu za MwanzaNi kweli Mbeya imetoa timu kibao
Tukuyu stars (imewahi kuchukua ubingwa)
Prisons (imewahi kuchukua ubingwa)
Mecco
Mbeya city
Mbeya Kwanza
Kenglold
Ihefu,
Mwanza kuna wazee wa yanga hovyo sana,wachawi na hawapendi timu zisizo na unasaba na utopoloHakuna ushindani mwanza wanapigana fitna za hovyo sana kwenye soka utaona wanarudi walikokuwa na wanapotea mazima
Mi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.Wakishapanda watakuja kuwasajili kina kongwe Sabatho badala ya kutafuta wachezaji vipaji wenye morali wadogo wao watataka kwenda na wazee kisa uzoefu
Anyway kwa hao biashara na mbeya kwanza watarudi huko huko
Polisi tz, Afc arusha, mbuni nkKwan kanda ya kaskazin Arusha tumelaaniwa na mosh au shida nini mikoa
Hii miaka nenda rud hakuna team kabisa
Hazina ushindani, Ni kawaida Mwanza kukaa miaka bila kuwa na timu ligi kuuHebu tuone na timu za Mwanza
1. Toto Africans
2. Pamba
3. Mbao Fc
4. Gwambina
5.
Imeshapigiwa sana kelele lakini haifanyiwi kazi wao wajipange hakuna namnaMi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.
Hauko sahihi Pamba huwa ni Simba, Toto Africans ndio Yanga.Yanga anaongezewa point 12 nyingine!
Mi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.
Kwani tatizo lipo wapi,Imeshapigiwa sana kelele lakini haifanyiwi kazi wao wajipange hakuna namna
Yanga hata point kwa Simba si uhakika tuYanga anaongezewa point 12 nyingine!
kanda ya kaskazin Arusha tumelaaniwa na mosh au shida nini ?