Kwani unadjani wachezaji wake ni walewale katika hiyo miaka 23? Hata viongozi ni tofauti.Kwa mtazamo wangu timu nayoona inaenda kuleta ushindani ni Pamba Fc tu, wanaujua uchungu wa kuwa nje ya ligi miaka 23,
Kengold wageni wa ligi wakileta mbwembwe kama Tabora united wanashuka tena
Kipindi pamba inabeba ubingwa ulikuwa unachezea kamasi!?Hazina ushindani wala hakuna iliyowahi kubeba ubingwa ligi kuu
Ni kawaida Mwanza kukaa miaka bila kuwa na timu ligi kuu
Mbeya hapo majuzi tu misimu ya 2021 na 2022 wameingiza timu nne
Ongeza na alliance hapoHebu tuone na timu za Mwanza
1. Toto Africans
2. Pamba
3. Mbao Fc
4. Gwambina
5.
Tangu enzi za timu ya Ushirika ya Moshi.Kwan kanda ya kaskazin Arusha tumelaaniwa na mosh au shida nini mikoa
Hii miaka nenda rud hakuna team kabisa
Pamba bingwa wa ligi kuu 1990Hazina ushindani wala hakuna iliyowahi kubeba ubingwa ligi kuu
Ni kawaida Mwanza kukaa miaka bila kuwa na timu ligi kuu
Mbeya hapo majuzi tu misimu ya 2021 na 2022 wameingiza timu nne
Ndio jibu ambalo hutolewa Kila mara kujibu maoni kama hayoKwani tatizo lipo wapi,
Timu dhaifu za ligi kuu zikiona zina uwezo kuzidi za championship wamepewa nafasi ya kujitetea kwenye playoffs.
Ihefu mmeiuzaWaambia
Tunaomba uwanja ujengwe mbeya maana mbeya ndiko zinako toka timu za mipira,,, kongole kwao Kengold tunaomba na mbeya kwanza wapande nao!!!!
Tff sijui wanawaza nnMi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.
Inaongeza amsha amsha ya timu za championship to have something to play for mpaka siku ya mwisho..., bila hivyo mtu akishaona hizo nafasi mbili ameshindwa ataanza tu kuuza mechi...Mi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.
Nimewahurumia sana wanapotea maskini Barcelona ya bongo..Namuona Ruvu shooting anaongoza ligi kwanyuma
Mwaka huo bingwa ilikuwa ni timu yangu pendwa Fc bandari ya tangaPamba bingwa wa ligi kuu 1990
Sa Pamba inapoteaje mazima ndugu? Kwa sisi tunaoijua Pamba nadhani baada ya Simba na Yanga ndo timu inayofuatia Kwa kuwa na mashabiki wengi Tanzania.Hakuna ushindani mwanza wanapigana fitna za hovyo sana kwenye soka utaona wanatumia walikokuwa na wanapotea mazima
Kwani unadjani wachezaji wake ni walewale katika hiyo miaka 23? Hata viongozi ni tofauti.
Moshi kulikuwa na timu inaitwa Ushirika.Kwan kanda ya kaskazin Arusha tumelaaniwa na mosh au shida nini mikoa
Hii miaka nenda rud hakuna team kabisa
Hazina maisha hizo zinakwenda kusajili masalia ya yanga na kocha anakua minziro au fredy mbuna unategemea nini sio kurudi daraja la kwanza na point 12!Hauko sahihi Pamba huwa ni Simba, Toto Africans ndio Yanga.
Wachaga/wapare na mpira wapi na wapi? Yaani awe uwanjani anaumia kwa jasho halafu mtu mwingine yupo getini anakusanya hela? Mtu unaweza ku-concentrate uwanjani kweli?Kwan kanda ya kaskazin Arusha tumelaaniwa na mosh au shida nini mikoa
Hii miaka nenda rud hakuna team kabisa
Tumkumbuke Amos Makala kwa Pamba kupanda Daraja hii ameacha legacy ninadhani na hili la ujenzi wa miundo mbinu uwanja wa ndege litawezekana.Hongera uliko mpambanajiKengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao
- KenGold FC
- Pamba FC
- Mbeya Kwanza FC
- Biashara United FC
- TMA FC
- Mbeya City FC
- Mbuni FC
- Polisi Tanzania FC
- Cosmopolitan FC
- FGA Talents FC
- Stand United FC
- Green Warriors FC
- Transit Camp FC
- Copco FC
- Pan Africans FC
- Ruvu Shooting FC
Pamba haikuwa kuchukua ligi ila ilikuwa ndio timu bora na consistent ukitoa simba na yanga..., Yanga alikuwa lazima apoteze kwa Pamba na Pamba ndio ilikuwa academy ya kutoa vipaji vingi ambavyo vilikuwa inaelekea Simba....Pamba bingwa wa ligi kuu 1990
Pamba wacheze mpira waachane na usimba na yanga.Hazina maisha hizo zinakwenda kusajili masalia ya yanga na kocha anakua minziro au fredy mbuna unategemea nini sio kurudi daraja la kwanza na point 12!
Na goli tano juuYanga anaongezewa point 12 nyingine!