Kengold wangekamia SBS, KMC au Kagera Sugar kama walivyomkamia Yanga wangevuna walau alama moja

Kengold hawajakamia sema Yanga haikuwa kwenye form kabisa leo au wamezugumza naTarimba Abbas ili waliobeti 3+ wapigwe za uso.
 
Kengold hawajakamia sema Yanga haikuwa kwenye form kabisa leo au wamezugumza naTarimba Abbas ili waliobeti 3+ wapigwe za uso.
Hamtaki kukubali tu kuwa mna timu ya kawaida saaana. Yanga haina viwango hivyo inayojiaminisha inavyo. Mkikutana na timu kubwa mnakamia ili mpate matokeo ila bila hivyo ni mambo kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…