😁😁😁Bro yaani hilo lidude ni hatari sijawahi pata ona kama ile mbaya zaidi hategemei Tag yeye ndo Tag yenyewe hacheki na wowote.Mwamba hacheki na mtu 😃
Kumbe Yakuza ni bonge la mtandao (hadi gerezani) .Hapo sawa mkuu 😃 maana kama hadi Askari Jela wengine waliokuwa wampa ulinzi Shinoda walikuwa ni Yakuza pia 😃
Kukatwa vidole ni ajali ambazo watu wanajitakia mkuu ila binafsi kujiunga nao mbona mapema sanaKumbe Yakuza ni bonge la mtandao (hadi gerezani) .
Ungekuwa mjapani ungejiunga nao(Yakuza) ? Au una maoni gani kuwahusu? Binafsi naogopa kukatwa vidole !
Kujiunga na Yakuza ni uamuzi mkali. Je muvi zipi zina husu hawa watu(Yakuza)? Nataka majinaKukatwa vidole ni ajali ambazo watu wanajitakia mkuu ila binafsi kujiunga nao mbona mapema sana