Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

Wave ya tatu hii. Kulikuwa na taarifa mapema kuwa mzee huyu kakumbwa na UVIKO.

Apumzike kwa amani mzee huyu.

Kabla ya chanjo kutinga ndani ya nyumba sote tu njia moja kuliko wakati wowote.
Kuna kakideo nilikaona anaimbiwa wimbo mzuri sana na wanaye na wajuu..this yr " i sink" lest in pisi Babu K!
 
Acha chuki. He deserves it
Wabongo bhna....kuuliza swali imekuwa chuki !!!!!angalau angekuwa Nyerere kweli simkubali ila babu wa zambia huko ananihusu nini???

Hivi kwani maraisi wote wa kwnza wa nchi zao wanakuwaitwaga baba wa taifa??????
 
Huyo Mzee Kaunda alikuwa muungwana sana. Alipoona wa Zambia wamechagua wapinzani dhidi yake . Alikubali kabla kura hazijaisha kuhesabiwa na kupisha ikulu. Jambo ambalo huwezi kuliona popote Africa especially Tanganyika.

Rip Mzee Kaunda [emoji24][emoji120]
 
Back
Top Bottom