Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hata akiitwa SHUJAA WA AFRIKA, wakati ana stafu urais kwenye account yake alikuwa na dola 8000!! Tu, sawa, sio yule .......ambaye watu wake, walitaka kumpa sifa hiyo, lakini wakakutana na upinzani mkubwa, naona wakakimbia kwani hawakuwa na hoja zenye mashiko.Another legend is gone.
Ni kwamba huu uzoefu umeutoa kwa mwendazake Jiwe.Siku hizi naanza Kuzoea ambapo nikisikia tu Kiongozi wa nchi ( Rais ) au Rais ( Kiongozi ) Mstaafu Kalazwa Hospitalini najua ana 99.999% ya Kufa ( Kufariki ) ama Siku chache tu zijazo au miezi Michache ijayo na hatodumu miaka Miwili ijayo
Watoto wa kweli wa mama Africa nadhani alibaki yeye list ni ndefu ila akawasalimie kwame nkurumah, gamal Abdul nasser, tafawa balewa Nelson Mandela, samora machiel, mariam ngwabi, agustino neto Thomas sankara, mnandi azikiwe, silvanus olimpia ,julius nyerere na wengine wote.R.I.P Pan Africanist
Sasa hivi kumebaki wapiga deal tu