Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kuna kakideo nilikaona anaimbiwa wimbo mzuri sana na wanaye na wajuu..this yr " i sink" lest in pisi Babu K!Wave ya tatu hii. Kulikuwa na taarifa mapema kuwa mzee huyu kakumbwa na UVIKO.
Apumzike kwa amani mzee huyu.
Kabla ya chanjo kutinga ndani ya nyumba sote tu njia moja kuliko wakati wowote.
Lakini amekufaKeneth sio kennedy
Acha chuki. He deserves itUna uhakika kwao anaitwa baba wa taifa?
Rip mwendazake Kaunda.
Hako hapo?Kuna kakideo nilikaona anaimbiwa wimbo mzuri sana na wanaye na wajuu..this yr " i sink" lest in pisi Babu K!
Kamati ya Amani haitaki hilo jinaRIP MWENDAZAKE KAUNDA
Msoga ExpressMzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina
Aliyekufa ni kenneth sio kennedyLakini amekufa
Wasukuma na mwendazake, watasema huu msiba ni wao. Wasukuma wamehamia CCM.Mdogo wangu huyu ni Keneth ..wapare sijui mna nini!
Wabongo bhna....kuuliza swali imekuwa chuki !!!!!angalau angekuwa Nyerere kweli simkubali ila babu wa zambia huko ananihusu nini???Acha chuki. He deserves it
Kijana mwendazake ni mmoja tu Afrika hii.RIP MWENDAZAKE KAUNDA
sijalitumia kwa mtanzania..au pia ni haifai?Kamati ya Amani haitaki hilo jina
Huyo Mzee Kaunda alikuwa muungwana sana. Alipoona wa Zambia wamechagua wapinzani dhidi yake . Alikubali kabla kura hazijaisha kuhesabiwa na kupisha ikulu. Jambo ambalo huwezi kuliona popote Africa especially Tanganyika.Wabongo bhna....kuuliza swali imekuwa chuki !!!!!angalau angekuwa Nyerere kweli simkubali ila babu wa zambia huko ananihusu nini???
Hivi kwani maraisi wote wa kwnza wa nchi zao wanakuwaitwaga baba wa taifa??????