Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

 
Pumzika mahali pema peponi mmoja wa Viongozi wazuri sana wa Afrika hukuwa fisadi, mwizi na ulishirikiana kwa karibu sana na Mwalimu Nyerere katika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika ikiwemo South Africa.
 
Rais mstaafu wa Zambia na shujaa wa kweli wa Afrika mzee Kenedy Kaunda ametuwachia majonzi.

Amefariki leo hii 17.06.2021 .
Hakika tutamkumbuka kwa mengi sana aliyoyafanyia wa Afrika. View attachment 1821798
Hii announcement ya tarehe 17 kwa vifo vya marais inamaanisha nini?[emoji848]

Stone 17.03

Kenneth 17.06

[emoji1745][emoji1745]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…