Kenya abandons "Mass Testing"🤔

Eti sungusungu 😂 😂 😂 😂
 
...katika jina la Yesu 😂 😂 😂
 
Meanwhile Banana Republic of Tanzania Numbers are increasing Exponentially
 
Afrika itafanikiwa kutatua matatizo yake kulingana na mazingira yake.
 
Oh wakenya tutafanya "mass testing" sijui nini, unadhani ni mchezo sio?
 
Wewe usini-quote pita kule!
Lazima uwe quoted, mbona wewe kafanya hivyo kwa huu uzi na hakuna mwenye amenungunika?. Vipi yule mwenzako jiwe feki la joto?. Siku hizi alichoka kutujuza habari 'kemkem' za korona!..🤣🤣
 
Hapa huwezi muona MK254
Soma nakala yote kabla kubwabwaja, serikali haijatelekeza mass-testing, bado ipo ila watafanya kama wafanyavyo CDC kule Marekani, kwamba badala ya kupima mlango kwa mlango watawapa kipau mbele wale wenye matatizo mengine ya kiafya ambao Corona ikiwakuta ni kiama moja kwa moja.
Hii naiunga mikono, haina haja wapoteze muda mwingi kwangu mimi kabla hawajamfikia jirani ambaye labda anafahamika kuwa na kisukari na mengine, maana corona ukiigundua mapema inadhibitika.
 
Kenya tumefikisha 14,000 Leo,
Plus Uganda Leo walipima 1,124 tests,
Jana ilikuwa 1,400
 
Bana. He's forcing himself on people with stupid tags

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…