Kenya abandons "Mass Testing"πŸ€”

Kenya abandons "Mass Testing"πŸ€”

Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.

========

Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19
Ads by
Stop seeing this adWhy this ad?
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
Ad covered content
Seen this ad multiple times
We'll try not to show that ad again
Ad closed by


Tokea last week hata kabla hii taarifa ichapishwe , na wakati MoH ilikua inatumia neno mass testing, mimi tayari nilikua nishatumia hilo neno la targeted mass testinng kwasababu nilikua nishaelewa vile mass testingitafanywa kulingana na maelezo yao.........

Mass testing inamaanisha kupima watu wengi pila mpangilio wowte na hata wale wasio na dalili , yani mahali popote ndani ya nchi unaenda kupima watu.... Targeted mass tetsing inamaanisha unakua na creteria flani ya ku identify priority area kwanza, yani hakuna haja ya kwenda Isiolo county kupima watu wakati isiolo haina confirmed case hata moja.

1587481703416.png





Kabla nikuelezee zaidi kuhusu targeted mass testing ya corona wacha nikupe mfano wa HIV, ukitaka kufanya mass testing ya HIV hautapima wakenya 49 million, no, utatengeneza creteria ambapo watu flani pekee ambao wako kwenye highest risk ya kupata ugonjwa ndo watapimwa baada ya kujibu maswali flani, kwa mfano criteria ya watu walio high risk kupata HIV inaeza kua; Kama we ni kahaba, kama hua unalala na zaidi ya mpenzi mmoja, wanafunzi wa university, madereva wa malori ya trela, wakaazi wa maeneo ambayo tayari kuna watu wengi walio na ukimwi kama vile bondo kisumu...etc


Sasa tukirudi kwa corona, wale ambao wako kwa highest risk kupata corona ni wale watu wako kwa county ambazo ziko na confirmed cases za corona au watu ambao wana ugonjwa flani tayari kama kisukari, HIV, madaktari wote ndani ya nchi, conductor wa matatu na wahudumu madukani na sokoni,wanaoishi vitongoji duni kama kibera, watu wote walio na miaka 65 kwenda juu...etc hawa ndo watu ambao wanalengwa kwa hii targeted mass testing

Kwa mfano kwa hio taarifa,wamesema makaazi yote yanayoishi watu wengi yatapimwa, kwenye hii 'targeted mass testing"
β€œAll healthcare workers and other first responders directly interact with many people,” Dr Mwangangi said. The targeted mass testing began early this week, with samples being collected from KPA and densely populated areas like Kibera.

Kwahivyo tokea pale mwanzo, wakisema mass testing walikua hawamaanishi kila mtu ndani ya nchi anapimwa, neno hilo lilikua linatumika kumaanisha upimaji wa watu wengi ndani ya mda flani....... Hakuna nchi duniani imepima kila mtu, lakini hilo neno la mass testing limetumika wakati wanaelezea kwanini nchi nyengine kama kina s.korea na germany zimefanyikiwa kusimamishha maambukizi mapya au vifo vya korona.
 
This is stress free country not kunya country! Be informed!!
Stress-free wakati mko na more active cases kutuliko??? Are you even listening to yourself?
 
aisee poleni tz mazee, mbunge mama lwakatare uyooo mlongazila na manispaa!...chukueni πŸ₯Άtahadhari mazeee.. #zekorona
 
aisee poleni tz mazee, mbunge mama lwakatare uyooo anaenda kuzikwa mlongazila na manispaa!...chukueni πŸ₯Άtahadhari mazeee.. #zekorona

Uongo hangaika na kunya country yako. Anazikwa tarehe 23/04/2020
 
Meanwhile Banana Republic of Tanzania Numbers are increasing Exponentially
Things are going to be more worse there.. Nikiangalia data naona number ya confirmed cases of TZ inapanda na mara mbili.
 
Kenya: Quaranteen imekua Prison Break

If you don't know what is to be quarantined mean ulizia na utajua yale mambo wanapitia huko ndani. if it was me, I could escape kama ningeipata hiyo chance.
 
LOL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hao wakiingia mathare na kayamba kayaba slums kesho tunazika million 2 Kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wenyewe wako busy humu ndani kumuita Magufuli mkaidi!
 
Hii shughuli ilishaeadhinda kitambo, sasa hivi wamebaki kuombea mabaya yatokee TZ ili wao waonekane ni afadhali.
LOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao wakiingia mathare na kayamba kayaba slums kesho tunazika million 2 Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom