Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Bila aibu kwa miaka mingi sana sasa, Wakenya wana watangazia wazungu na wote duniani mlima Kilimanjaro upo Kenya. Wazungu wote waliodanganywa hivyo wamechukia sana baada ya kuwalazimu kulipia viza za nchi mbili na kupoteza muda mwingi na pesa zao.
Huu ni ushenzi wa kijinga na wivu mkubwa, kwani sasa tutatangaza dunia nzima kwamba wakenya ni waongo na wezi wa mlima, ingekuwa nchi za Ulaya zinge ilipisha Kenya kwa kutuibia watalii, kwani watalii wanaojua mlima uko kwetu hawana lazima ya kwenda Kenya kabisa, sababu wanaona wanyama pia kando kando ya mlima, na sio mbali na hapo kuna mbuga kubwa mbili, Serengeti na Ngorongoro.
Hii inaonyesha Kenya sio majirani wema, wanajifanya tu kufaidika na masoko yetu ya bidhaa zao, ila kama wangeweza wangeuchukua mlima na kuuweka kwao lol. Lakini hawawezi kufanya hivyo, kwa hiyo wanatumia midomo kuwadanganya wajinga wasiojua nchi yetu na yao. Sie tuna wanyama wengi zaidi wao wanawala na kuua simba, tuna mbuga nyingi zaidi kila pembe ya nchi na kati kuna mbuga kubwa, mbuga nyingine kubwa sawa na nchi za Ulaya, kama Selou na Ruaha.
Lazima tupambane na hili na kuwaumbua wezi wa mlima, hakuna mwizi mbaya zaidi ya wa ardhi hasa kwa mdomo. Tutaimba kuhusu nchi yetu na mlima wetu mpaka Wakenya wajijue na kuacha wizi wao na wivu wao.