Kenya acha wizi wa mlima Kilimanjaro, tumeamua kukuumbua

Kenya acha wizi wa mlima Kilimanjaro, tumeamua kukuumbua

Ndiyo ujinga mnaoutumia kuwadanganya watalii wanaochukizwa baada ya kufanywa wajinga na kulalamika kwetu, kisha kutangaza kwao nyie ni waongo? Wait for this song coming soon,-

Tumi Natty Lambo
20 hrs ·
Highest peak of Afrika
Mount Kilimanjaro in Tanzania x4

Beautiful mountain
True original Eden
Fulla animals around
True Jah Jah Garden x2

I want to climb climb to the top
Am gonna climb climb to the top
To see my mother land from the top
Of mount Kilimanjaro in Tanzania!

Looking at Giraffes from the top
Looking at lions from the top
Looking at elephants from the top
Of mount Kilimanjaro in Tanzania!

Am gonna dance dance with Masai
Am gonna jump jump with Masai
Getting high high with Masai
Around Kilimanjaro in Tanzania x2

I got fed up with Kenyans lies, claiming mount Kilimanjaro is in Kenya. So I wrote this song to tell the world the truth, because in my research I found out a lot of Americans and Europeans been lied to, so they go to Kenya to climb the mountain and realise too late, or can't afford another trip and visa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huu ni wimbo au ni majungu? Sasa nikiupanda Mlima huo sitaona pande ya Kenya? Bulshit
 
Hili povu sio la kawaida, aliyewazuia kuutangaza Mlima wetu Kilimanjaro ni nani? [emoji1][emoji1][emoji1]
amboseli-elephants-990x490.jpg
Best view ya Ml. Kili ni kutoka kwa mbuga la wanyama la Amboseli, Kenya. [emoji1139][emoji1139][emoji1139]. Kajitie kitanzi sasa. [emoji40]

Nice editing skills.
 
Hakuna mahala serikali ya Kenya imesema mlm Kilimanjaro upo Kenya. Serikali ya Kenya wanaslogan yao inasema - Ukitaka kuuona mlima Kilimanjaro njoo Kenya. Hawasemi Ukitaka kupanda Kilimanjaro njoo Kenya. Kwahili serikali ya Kenya imetu- oversmart. Watz kwahili tunafeli kila siku kujitangaza.
Ni Wananchi wa Kenya ndio wamejiongeza kwa kuinadi nchi yao hata kufikia kuudanganya ulimwengu na sio serikali yao.
Hawatakiwi hata kusema hivyo na kuutumia mlima wetu kama kivutio cha watalii wao, kibiashara ni kosa. Pia wanasema mlima upo Kenya nimewasikia na wanakubali na kudai eti ni wao, kama wehu wasio na akili. Kuhusu watanzania kuzembea kuutangaza mlima uko sawa, maana hata waziri wa utalii kashea video ya wamarekani wanaosema mlima upo kenya, bila ya yeye kutambua.

Watalii wengi wanaokwenda Kenya kutaka kuutazama mlima au kuupanda, wanataka pia kuona wanyama ambao wapo karibu na milima kuna mbuga kadhaa. Lakini wakiambiwa upo Kenya, basi wanapanga safari ya Kenya tu, kuuona mlima na wanyama, ila wakijua upo Tanzania basi hawawezi hata kutaka kuisikia Kenya. Huo ndiyo wizi wao wa kibiashara, na wanashindana na siye kiutalii kila siku, wakati wanatuibia watalii.
 
Kenya ni maarufu kutuzidi Tz,mabepari wanaitangaza vyema,hata uko nje ukisema unatoka East Africa,wanakuuliza Kenya?
Nakumbuka miaka kadhaa iliopita kuna mzungu huko nje aliniuliza mimi natoka wapi, nikamuambia ninatokea Kenya. Halafu yeye mwenyewe akatamka neno "Kilimanjaro" huku akitabasamu. Kuashiria kwamba yeye alidhani kuwa mlima huo upo Kenya. Mimi sikumkosoa.

Nilicheka tu na kurudia neno hilo "Kilimanjaro tallest mountain in Africa" ili kuashiria kwamba ni kweli Kilimanjaro ipo Kenya. Baada ya kuzungumza kidogo tukaachana na kila mtu kuenda zake. Kwa hivyo ni kweli kuwa kuna baadhi ya wazungu wanaodhani kuwa Kilimanjaro ipo Kenya na sio shughuli yetu Wakenya kuwasahihisha hao wazungu waliopotoka.
 
Hakuna mahala serikali ya Kenya imesema mlm Kilimanjaro upo Kenya. Serikali ya Kenya wanaslogan yao inasema - Ukitaka kuuona mlima Kilimanjaro njoo Kenya. Hawasemi Ukitaka kupanda Kilimanjaro njoo Kenya. Kwahili serikali ya Kenya imetu- oversmart. Watz kwahili tunafeli kila siku kujitangaza.

Ni Wananchi wa Kenya ndio wamejiongeza kwa kuinadi nchi yao hata kufikia kuudanganya ulimwengu na sio serikali yao.

Hamna kitu, hivi unajua hata Serengeti wanasemaga ipo Kenya?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huu ni wimbo au ni majungu? Sasa nikiupanda Mlima huo sitaona pande ya Kenya? Bulshit
Umejicheka mwenyewe kwa ujinga wao wa kutojua majungu ni nini, lakini Kiswahili ni lugha ya pili kwenu na mmejifunza toka miaka ya 70 mwishoni, wakati siye toka enzi za mwarabu mlio wapinga, miaka elfu iliyopita lol.
 
Nakumbuka miaka kadhaa iliopita kuna mzungu huko nje aliniuliza mimi natoka wapi, nikamuambia ninatokea Kenya. Halafu yeye mwenyewe akatamka neno "Kilimanjaro" huku akitabasamu. Kuashiria kwamba yeye alidhani kuwa mlima huo upo Kenya. Mimi sikumkosoa.

Nilicheka tu na kurudia neno hilo "Kilimanjaro tallest mountain in Africa" ili kiashiria kwamba ni kweli Kilimanjaro ipo Kenya. Baada ya kuzungumza kidogo tukaachana na kila mtu kuenda zake. Kwa hivyo ni kweli kuwa kuna baadhi ya wazungu wanaodhani kuwa Kilimanjaro ipo Kenya na sio shughuli yetu Wakenya kuwasahihisha hao wazungu waliopotoka.
Mlio wadanganya kama wehu.
 
Ndiyo ujinga mnaoutumia kuwadanganya watalii wanaochukizwa baada ya kufanywa wajinga na kulalamika kwetu, kisha kutangaza kwao nyie ni waongo? Wait for this song coming soon,-

Tumi Natty Lambo
20 hrs ·
Highest peak of Afrika
Mount Kilimanjaro in Tanzania x4

Beautiful mountain
True original Eden
Fulla animals around
True Jah Jah Garden x2

I want to climb climb to the top
Am gonna climb climb to the top
To see my mother land from the top
Of mount Kilimanjaro in Tanzania!

Looking at Giraffes from the top
Looking at lions from the top
Looking at elephants from the top
Of mount Kilimanjaro in Tanzania!

Am gonna dance dance with Masai
Am gonna jump jump with Masai
Getting high high with Masai
Around Kilimanjaro in Tanzania x2

I got fed up with Kenyans lies, claiming mount Kilimanjaro is in Kenya. So I wrote this song to tell the world the truth, because in my research I found out a lot of Americans and Europeans been lied to, so they go to Kenya to climb the mountain and realise too late, or can't afford another trip and visa.
Enda ambia Magufuli ajenge ukuta tusiuone mlima Tena..
 
Hawa mapato ya utalii tuliwazunguka almost mara mbili mwaka jana hivyo wasikupe shida.

Tuna balozi wetu mzuri Miss.Nyongo alituongelea kuhusu Serengeti.Wakora wakamvaa mtandaoni why anatangaza Serengeti na si maasai mara... Hawajui kulinganisha Serengeti na wamasai wa mara ni ujinga wa hali ya juu.
Wana wivu sana hawa😄😄
Those fake numbers you used to release.

Anyway, tourism is dead as of 2020..ot will recover soonest in 2022..and in TZ maybe 4yrs.. Zoea mapema
 
Nice editing skills.
Huamini macho yako jombaa? [emoji1]
Sasa hapo photoshop ni ya nini, mlima au tembo? [emoji1] Haya basi ndio hii nyingine.
elephants_kili.jpg
Welcome to Amboseli National Park in the Great County of Kajiado, Kenya[emoji1139]. Home to the best views of Mt. Kilimanjaro. 😎
 
Those fake numbers you used to release.
Anyway, tourism is dead as of 2020..ot will recover soonest in 2022..and in TZ maybe 4yrs.. Zoea mapema
Tanzania ikiongoza Kenya siku zote huwa ni za kupikwa sio! Halafu Tourism haijafa,imekuwa dormant tu kwa muda.So when things resume tunaendelezana pale pale.
 
Tanzania ikiongoza Kenya siku zote huwa ni za kupikwa sio! Halafu Tourism haijafa,imekuwa dormant tu kwa muda.So when things resume tunaendelezana pale pale.
noo , how comes you only used to release numbers after Kenya has done so? ili mpike, tunawajua sana.
Tourism will dead/dormant for a while, kama uko hiyo sector, tafuta namna ingine
 
Hili povu sio la kawaida, aliyewazuia kuutangaza Mlima wetu Kilimanjaro ni nani? [emoji1][emoji1][emoji1]
amboseli-elephants-990x490.jpg
Best view ya Ml. Kili ni kutoka kwa mbuga la wanyama la Amboseli, Kenya. [emoji1139][emoji1139][emoji1139]. Kajitie kitanzi sasa. [emoji40]
Acheni ufala basi.....
 
Huamini macho yako jombaa? [emoji1]
Sasa hapo photoshop ni ya nini, mlima au tembo? [emoji1] Haya basi ndio hii nyingine.
elephants_kili.jpg
Welcome to Amboseli National Park in the Great County of Kajiado, Kenya[emoji1139]. Home to the best views of Mt. Kilimanjaro. 😎
Watu wanataka wapande sahivi wale maselfie juu kwa juu wee unaleta mambo ya view.
Halafu na utandawazi huu nani anaamini bado Mt.Kili ipo Kenya;mnajidanganya tu.
Cha kufanya walaumuni mabwana zenu U.K kwa kuzidiwa ujanja na Germany hehehe!
 
noo , how comes you only used to release numbers after Kenya has done so? ili mpike...tunawajua sana..
Tourism will dead/dormant for a while, kama uko hiyo sector, tafuta namna ingine
Tupike tumfurahishe nani jombaa! Hiyo mentality mliyonayo kwamba siku zote mtakuwa juu ya Tz ni mbovu! Na mnakosea.

Nakumbuka hata mwanzoni mwa mwaka huu tulipowapiga ngwara kwa idadi ya matajiri mlisema hivihivi! Sasa kama tunapika data why tusipike na GDP?

Mnapaswa mtambue kuwa watu wanakimbia na kama wewe unatembea basi usitoe lawama kwa wengine maana ndo ulivyoamua hivyo.

Hatutegemei tourism pekee pia kuna sekta ya madini ambapo majuzi tumevuna hela almost sawa na mliyokopa IMF!
Na major projects zinaendelea kama kawa!
 
Back
Top Bottom