Kenya acha wizi wa mlima Kilimanjaro, tumeamua kukuumbua

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huu ni wimbo au ni majungu? Sasa nikiupanda Mlima huo sitaona pande ya Kenya? Bulshit
 
Hawatakiwi hata kusema hivyo na kuutumia mlima wetu kama kivutio cha watalii wao, kibiashara ni kosa. Pia wanasema mlima upo Kenya nimewasikia na wanakubali na kudai eti ni wao, kama wehu wasio na akili. Kuhusu watanzania kuzembea kuutangaza mlima uko sawa, maana hata waziri wa utalii kashea video ya wamarekani wanaosema mlima upo kenya, bila ya yeye kutambua.

Watalii wengi wanaokwenda Kenya kutaka kuutazama mlima au kuupanda, wanataka pia kuona wanyama ambao wapo karibu na milima kuna mbuga kadhaa. Lakini wakiambiwa upo Kenya, basi wanapanga safari ya Kenya tu, kuuona mlima na wanyama, ila wakijua upo Tanzania basi hawawezi hata kutaka kuisikia Kenya. Huo ndiyo wizi wao wa kibiashara, na wanashindana na siye kiutalii kila siku, wakati wanatuibia watalii.
 
Kenya ni maarufu kutuzidi Tz,mabepari wanaitangaza vyema,hata uko nje ukisema unatoka East Africa,wanakuuliza Kenya?
Nakumbuka miaka kadhaa iliopita kuna mzungu huko nje aliniuliza mimi natoka wapi, nikamuambia ninatokea Kenya. Halafu yeye mwenyewe akatamka neno "Kilimanjaro" huku akitabasamu. Kuashiria kwamba yeye alidhani kuwa mlima huo upo Kenya. Mimi sikumkosoa.

Nilicheka tu na kurudia neno hilo "Kilimanjaro tallest mountain in Africa" ili kuashiria kwamba ni kweli Kilimanjaro ipo Kenya. Baada ya kuzungumza kidogo tukaachana na kila mtu kuenda zake. Kwa hivyo ni kweli kuwa kuna baadhi ya wazungu wanaodhani kuwa Kilimanjaro ipo Kenya na sio shughuli yetu Wakenya kuwasahihisha hao wazungu waliopotoka.
 

Hamna kitu, hivi unajua hata Serengeti wanasemaga ipo Kenya?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huu ni wimbo au ni majungu? Sasa nikiupanda Mlima huo sitaona pande ya Kenya? Bulshit
Umejicheka mwenyewe kwa ujinga wao wa kutojua majungu ni nini, lakini Kiswahili ni lugha ya pili kwenu na mmejifunza toka miaka ya 70 mwishoni, wakati siye toka enzi za mwarabu mlio wapinga, miaka elfu iliyopita lol.
 
Mlio wadanganya kama wehu.
 
Enda ambia Magufuli ajenge ukuta tusiuone mlima Tena..
 
Those fake numbers you used to release.

Anyway, tourism is dead as of 2020..ot will recover soonest in 2022..and in TZ maybe 4yrs.. Zoea mapema
 
Nice editing skills.
Huamini macho yako jombaa? [emoji1]
Sasa hapo photoshop ni ya nini, mlima au tembo? [emoji1] Haya basi ndio hii nyingine. Welcome to Amboseli National Park in the Great County of Kajiado, Kenya[emoji1139]. Home to the best views of Mt. Kilimanjaro. 😎
 
Those fake numbers you used to release.
Anyway, tourism is dead as of 2020..ot will recover soonest in 2022..and in TZ maybe 4yrs.. Zoea mapema
Tanzania ikiongoza Kenya siku zote huwa ni za kupikwa sio! Halafu Tourism haijafa,imekuwa dormant tu kwa muda.So when things resume tunaendelezana pale pale.
 
Tanzania ikiongoza Kenya siku zote huwa ni za kupikwa sio! Halafu Tourism haijafa,imekuwa dormant tu kwa muda.So when things resume tunaendelezana pale pale.
noo , how comes you only used to release numbers after Kenya has done so? ili mpike, tunawajua sana.
Tourism will dead/dormant for a while, kama uko hiyo sector, tafuta namna ingine
 
Acheni ufala basi.....
 
Watu wanataka wapande sahivi wale maselfie juu kwa juu wee unaleta mambo ya view.
Halafu na utandawazi huu nani anaamini bado Mt.Kili ipo Kenya;mnajidanganya tu.
Cha kufanya walaumuni mabwana zenu U.K kwa kuzidiwa ujanja na Germany hehehe!
 
noo , how comes you only used to release numbers after Kenya has done so? ili mpike...tunawajua sana..
Tourism will dead/dormant for a while, kama uko hiyo sector, tafuta namna ingine
Tupike tumfurahishe nani jombaa! Hiyo mentality mliyonayo kwamba siku zote mtakuwa juu ya Tz ni mbovu! Na mnakosea.

Nakumbuka hata mwanzoni mwa mwaka huu tulipowapiga ngwara kwa idadi ya matajiri mlisema hivihivi! Sasa kama tunapika data why tusipike na GDP?

Mnapaswa mtambue kuwa watu wanakimbia na kama wewe unatembea basi usitoe lawama kwa wengine maana ndo ulivyoamua hivyo.

Hatutegemei tourism pekee pia kuna sekta ya madini ambapo majuzi tumevuna hela almost sawa na mliyokopa IMF!
Na major projects zinaendelea kama kawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…