Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Sie wa Amu na wamvita tuwe kundi gani?Umejicheka mwenyewe kwa ujinga wao wa kutojua majungu ni nini, lakini Kiswahili ni lugha ya pili kwenu na mmejifunza toka miaka ya 70 mwishoni, wakati siye toka enzi za mwarabu mlio wapinga, miaka elfu iliyopita lol.
Ha ha ha ha ha wehu wasio na akili wanasema Kilimanjaro upo Kenya. Naona unajichukia mwenyewe sasa kwa wizi wa mlima, pure mental case.Pumbavu kweli,site wa Amu na wamvita tuwe kundi gani ?
Ni lugha gani hiyo mzee? Ooooops ni msee kwa kikuyu.Enda ambia Magufuli ajenge ukuta tusiuone mlima Tena..
sikiza hapa kaka, wacha povuBila aibu kwa miaka mingi sana sasa, wakenya wana watangazia wazungu na wote duniani mlima Kilimanjaro upo Kenya. Wazungu wote waliodanganywa hivyo wamechukia sana baada ya kuwalazimu kulipia viza za nchi mbili na kupoteza muda mwingi na pesa zao.
Huu ni ushenzi wa kijinga na wivu mkubwa, kwani sasa tutatangaza dunia nzima kwamba wakenya ni waongo na wezi wa mlima, ingekuwa nchi za Ulaya zinge ilipisha Kenya kwa kutuibia watalii, kwani watalii wanaojua mlima uko kwetu hawana lazima ya kwenda Kenya kabisa, sababu wanaona wanyama pia kando kando ya mlima, na sio mbali na hapo kuna mbuga kubwa mbili, Serengeti na Ngorongoro.
Hii inaonyesha Kenya sio majirani wema, wanajifanya tu kufaidika na masoko yetu ya bidhaa zao, ila kama wangeweza wangeuchukua mlima na kuuweka kwao lol. Lakini hawawezi kufanya hivyo, kwa hiyo wanatumia midomo kuwadanganya wajinga wasiojua nchi yetu na yao. Sie tuna wanyama wengi zaidi wao wanawala na kuua simba, tuna mbuga nyingi zaidi kila pembe ya nchi na kati kuna mbuga kubwa, mbuga nyingine kubwa sawa na nchi za Ulaya, kama Selou na Ruaha.
Lazima tupambane na hili na kuwaumbua wezi wa mlima, hakuna mwizi mbaya zaidi ya wa ardhi hasa kwa mdomo. Tutaimba kuhusu nchi yetu na mlima wetu mpaka wakenya wajijue na kuacha wizi wao na wivu wao.
Inadhihirisha wewe na wakenya wote wanaosema hivyo ni wehu, nimeona video hiyo ndiyo maana nikashea hii post. Sina haja ya kubishana na wehu wasiojua nchi yao, tutapambana na viongozi wenu.sikiza hapa kaka, wacha povu
JOHNNY GACHANJA
@JohnnyGachanja
·
18h
Mt Kilimanjaro is in Kenya and not Tanzania even the world know but Tanzanians will argue with me.
Kwa wizi hamjambo naona hata juzi mlianza singizia yule tembo mkubwa Duniani pia anatokea KE sio Tanzania.Most tourists prefer to watch animals with the backdrop being the mountain in this case Amboseli national park, the tourists who view the mountain are more than the ones who climb it definitely View attachment 1472020View attachment 1472021
Dawa yao ndogo tukipania kuvuruga wiki moja tu tunatangaza wiki hii ni wiki ya kukomesha uongo wa Kenya ulimwenguni kwenye mitandao yote kuanzia YouTube,fb , Twitter, Instagram, JF kote tunachafua mbona simple tu dunia inajua.nguo ya kuazima haisitili matako[emoji16][emoji16].
tunachukua sasa kaptula yetu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Comments 3 zote katika video zinapinga hilo, where are you [emoji38][emoji38][emoji38]he he
tieni bidii
Itabidi mumozea braza😂😂Bila aibu kwa miaka mingi sana sasa, Wakenya wana watangazia wazungu na wote duniani mlima Kilimanjaro upo Kenya. Wazungu wote waliodanganywa hivyo wamechukia sana baada ya kuwalazimu kulipia viza za nchi mbili na kupoteza muda mwingi na pesa zao.
Huu ni ushenzi wa kijinga na wivu mkubwa, kwani sasa tutatangaza dunia nzima kwamba wakenya ni waongo na wezi wa mlima, ingekuwa nchi za Ulaya zinge ilipisha Kenya kwa kutuibia watalii, kwani watalii wanaojua mlima uko kwetu hawana lazima ya kwenda Kenya kabisa, sababu wanaona wanyama pia kando kando ya mlima, na sio mbali na hapo kuna mbuga kubwa mbili, Serengeti na Ngorongoro.
Hii inaonyesha Kenya sio majirani wema, wanajifanya tu kufaidika na masoko yetu ya bidhaa zao, ila kama wangeweza wangeuchukua mlima na kuuweka kwao lol. Lakini hawawezi kufanya hivyo, kwa hiyo wanatumia midomo kuwadanganya wajinga wasiojua nchi yetu na yao. Sie tuna wanyama wengi zaidi wao wanawala na kuua simba, tuna mbuga nyingi zaidi kila pembe ya nchi na kati kuna mbuga kubwa, mbuga nyingine kubwa sawa na nchi za Ulaya, kama Selou na Ruaha.
Lazima tupambane na hili na kuwaumbua wezi wa mlima, hakuna mwizi mbaya zaidi ya wa ardhi hasa kwa mdomo. Tutaimba kuhusu nchi yetu na mlima wetu mpaka Wakenya wajijue na kuacha wizi wao na wivu wao.
Mbona Mimi sijui huyo chokoraaWaulize Wakenya wenzio.
Mbona Mimi sijui huyo chokoraa
Kwa hiyo?Kenya ni maarufu kutuzidi Tz, mabepari wanaitangaza vyema, hata uko nje ukisema unatoka East Africa,wanakuuliza Kenya?
hatujui huyo chokoraa...Nawe ungana na huyo mwenzio kisha nyote muwaulize wakenya wenzenu
hatujui huyo chokoraa...
Ona ili jingaHili povu sio la kawaida, aliyewazuia kuutangaza Mlima wetu Kilimanjaro ni nani? [emoji1][emoji1][emoji1] Best view ya Ml. Kili ni kutoka kwa mbuga la wanyama la Amboseli, Kenya. [emoji1139][emoji1139][emoji1139]. Kajitie kitanzi sasa. [emoji40]
Alafu Uhuru nasikia anakunywa Sana pombe za kienyejiYaan kenya [emoji1139] yote eti mjanja ni uhuru pekee wanaobaki ni pumba kwa akili!
Kilichobaki ni madole mpaka muombe poothe best photographs of the mt are shot from the Kenyan side, huu mlima ni wetu.
The mt is yours but the view is ours.