mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
The common denominator...they are both opposition leaders in their respective countries...Dimwit.Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
Ety Whitemans only hospital. I think you are suffering from racial inferiority complex no wonder you are posting crap.Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
Umewahi kuishi Kenya au unaropoka tu? Jaribu kuficha ujinga wako uliokithiri.Kenya acheni huu ujinga wa kujilinganisha na USA, Kenya ni poor third World Country wakati USA ni rich first World Country, hivyo kama USA wanaruhusu maandamano ni kwamba they can afford lkn Kenya haiwezi kumudu huu ujinga!
Amkeni mnaingia shimoni, nchi haijengwi kwa chaos hata siku moja eti ,, we have the right to demonstrate” hayo ni mambo ya Kizungu bhana hii ni third World watu wako Kibera hawajakula tangu jana hlf unawafungulia kuingia shopping center ukitegemea waandamane kwa Amani na kurudi nyumbani kwa Amani?
Msichukuwe kila kitu cha Muzungu 1-1, kuna vya kuiga kama Elimu yao, work ethics lkn siyo ujinga wao wa ,, black life matters” wanaweza kumudu chaos, Afrika is too poor for that, ...
Heri sisi tumeanza ku address hizi pressing issues sahii. One day tutakua na a proper electrol system, police reforms, strong economy etc. Nothing good comes easy. Great Nations you see today pia walipitia hapa tu.
Tanzania ambako demokrasia imezimwa, na hakuna maandamano, uchumi umepanda kiasi gani? Tatizo lako unajifanya unajua wakati hujui lolote ni mbumbumbu tu, unaishi kwa kupiga propaganda za Lumumba humu, you're so daft.Demokrasia ina mipaka hata kwa Muzungu ni hivyo, kwamba kuna vitu wanaruhusu kulingana na uwezo na hali yao, lkn Afrika hatuwezi kuiga hilo!
Angalia mfano maandamano ya Kenya tayari yanaathiri Utalii ambao Wakenya wengi wanautegemea ili waishi, sasa hiyo ni demokrasia au ujinga?
Tanzania ambako demokrasia imezimwa, na hakuna maandamano, uchumi umepanda kiasi gani? Tatizo lako unajifanya unajua wakati hujui lolote ni mbumbumbu tu, unaishi kwa kupiga propaganda za Lumumba humu, you're so daft.
Kwenda Kenya, mara kwa mara can't make you get to know Kenya in deep,kwa hiyo uliwaona wakenya wakilala njaa?Demu wangu ni Mkenya hivyo huenda huko mara kwa mara!
HeeeeeDemu wangu ni Mkenya hivyo huenda huko mara kwa mara!
Lmao mamarosa my NHIF ni ya Nairobi hospital smh kweli tanzania mko mbali eti Whitemam only hospital i have been admitted to Nairobi hospital twice already through my NHIF nkatibiwa bila kulipa much ......kweli mnashida wadanganyika hata hospitali zenu nzuri nzuri ni wazungu tu humo ndani??
Sawa!!Nairobi Hospital ni Muzungu Hospital hata historia ya nchi unayojivunia hauijui, soma tena Historia ya Nairobi hospital halafu ndo urudi hapa!