Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

Heri sisi tumeanza ku address hizi pressing issues sahii. One day tutakua na a proper electrol system, police reforms, strong economy etc. Nothing good comes easy. Great Nations you see today pia walipitia hapa tu.
 
Kweli mtoa mada wazungu wataka kutu naomba nisha Kenya hawajajua maandamano ni hatali kwani wananchi wanachochewa na watu wakubwa waandamane alafu wakubwa wanajifcha mnaumia
 
Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
The common denominator...they are both opposition leaders in their respective countries...Dimwit.
 
Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
Ety Whitemans only hospital. I think you are suffering from racial inferiority complex no wonder you are posting crap.
 
Democracy =demon means Satan cracy means administration so democracy is the devel by nature
 
Lmao mamarosa my NHIF ni ya Nairobi hospital smh kweli tanzania mko mbali eti Whitemam only hospital i have been admitted to Nairobi hospital twice already through my NHIF nkatibiwa bila kulipa much ......kweli mnashida wadanganyika hata hospitali zenu nzuri nzuri ni wazungu tu humo ndani??
ef7711bef5f957b142aa6f7f0fcfd123.jpg

a8f556aac4b4ab39d430d9486874516b.jpg
139a35e516357f0f708b7cba5aa5fff4.jpg
 
Kenya acheni huu ujinga wa kujilinganisha na USA, Kenya ni poor third World Country wakati USA ni rich first World Country, hivyo kama USA wanaruhusu maandamano ni kwamba they can afford lkn Kenya haiwezi kumudu huu ujinga!

Amkeni mnaingia shimoni, nchi haijengwi kwa chaos hata siku moja eti ,, we have the right to demonstrate” hayo ni mambo ya Kizungu bhana hii ni third World watu wako Kibera hawajakula tangu jana hlf unawafungulia kuingia shopping center ukitegemea waandamane kwa Amani na kurudi nyumbani kwa Amani?

Msichukuwe kila kitu cha Muzungu 1-1, kuna vya kuiga kama Elimu yao, work ethics lkn siyo ujinga wao wa ,, black life matters” wanaweza kumudu chaos, Afrika is too poor for that, ...
Umewahi kuishi Kenya au unaropoka tu? Jaribu kuficha ujinga wako uliokithiri.
 
Heri sisi tumeanza ku address hizi pressing issues sahii. One day tutakua na a proper electrol system, police reforms, strong economy etc. Nothing good comes easy. Great Nations you see today pia walipitia hapa tu.

Strong nations hazikupitia hiyo njia ya Kenya, Kenya imechukuwa njia ya mkato yaani inajaribu kufanya yale ambayo yanafanyika leo hii USA na Western Europe lkn Wakenya siyo Wazungu!
 
Demokrasia ina mipaka hata kwa Muzungu ni hivyo, kwamba kuna vitu wanaruhusu kulingana na uwezo na hali yao, lkn Afrika hatuwezi kuiga hilo!

Angalia mfano maandamano ya Kenya tayari yanaathiri Utalii ambao Wakenya wengi wanautegemea ili waishi, sasa hiyo ni demokrasia au ujinga?
Tanzania ambako demokrasia imezimwa, na hakuna maandamano, uchumi umepanda kiasi gani? Tatizo lako unajifanya unajua wakati hujui lolote ni mbumbumbu tu, unaishi kwa kupiga propaganda za Lumumba humu, you're so daft.
 
Uchumi wetu unakuwa kwa ~7% na sisi ni moja kati ya Nchi zinazokuwa haraka Duniani!
 
Lmao mamarosa my NHIF ni ya Nairobi hospital smh kweli tanzania mko mbali eti Whitemam only hospital i have been admitted to Nairobi hospital twice already through my NHIF nkatibiwa bila kulipa much ......kweli mnashida wadanganyika hata hospitali zenu nzuri nzuri ni wazungu tu humo ndani??
ef7711bef5f957b142aa6f7f0fcfd123.jpg

a8f556aac4b4ab39d430d9486874516b.jpg
139a35e516357f0f708b7cba5aa5fff4.jpg

Nairobi Hospital ni Muzungu Hospital hata historia ya nchi unayojivunia hauijui, soma tena Historia ya Nairobi hospital halafu ndo urudi hapa!
 
Hehehe mleta mada utakuja olewa na wazungu wewe maana kila hoja yako lazima uwahusishe wazungu.
Inafaa ikuingie nchi huongozwa na misingi ya katiba, hapo ulipo unaitwa Mtanzania ndani ya taifa linaitwa Tanzania linaloongozwa kwa minajili ya katiba ya Tanzania chini uongozi wa rais Mtanzania.
Hayo yote yametolewa muongozo na katiba, hivyo huwezi ukachagua kipengele kipi cha kutii na kipi utupie mbali. Bila katiba hamna Tanzania....

Haki ya kuandamana Kenya ipo kwenye katiba, imeruhusiwa ilmradi utazingatia amani na utulivu, angalia jinsi wauguzi wamekua wakiandamana bila matatizo yoyote.

Tatizo baadhi ya hawa wafuasi wa NASA hupenda sana kutumia fursa kama hizi kuzua fujo, wengine hata kuvamia kituo cha polisi halafu wakiuawa inakua makelele kote. Inafaa tubadilike jamani, leo hii NASA wakiamua kujitokeza kama wafuasi milioni moja wafurike wote maeneo ya ikulu bila fujo, nina uhakika serikali itawaskliza maana hapatakua na jinsi.

Watu milioni moja huwezi ukawafurusha hata kama unatumia polisi wengi.
 
Back
Top Bottom