Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
Si whites man hospital, it is a rich mans hospital tho
 
Haki na Usawa ni relative, maana yake ni kwamba kila mtu atatafsiri kivyake na ukiruhusu hilo hkn kingine utafanya isipokuwa kusikiliza malalamiko ya watu, lkn unasahau wkt huo huo Barabara lzm zijengwe, watoto waende Shuleni, Wagonjwa watibiwe, Watu waende kazini n.k. na wote hawa pia wana haki sawa na wewe unayetaka maandamano!
 
Si whites man hospital, it is a rich mans hospital tho

Ni Muzungus Hospital, ilijengwa na Muzungu for Muzungu, Waafrika wameanza kuruhusiwa kutibiwa hapo baada ya Uhuru wa Kenya lkn ilijengwa kwa ajili ya kutibu white men!
 
Kila siku namwambia huyu jamaa ni mtanzania mwenzangu lakini IQ yake iko below sea level!
Ila sio mbaya ndivyo miCCM yote ilivyo wengi hawana akili na wale wenye nazo wanaweka njaa zao mbele!
Barbarosa you need to change my friend!

Ni change kwa ajili yako?
 
Ni Muzungus Hospital, ilijengwa na Muzungu for Muzungu, Waafrika wameanza kuruhusiwa kutibiwa hapo baada ya Uhuru wa Kenya lkn ilijengwa kwa ajili ya kutibu white men!
That was then, this is now. Ata many schools in Nairobi were white only schools. Ata estates, but we are a free country and anyone of any race can visit those facilities and get the services wanataka.
 
Nitajie nchi moja Dunia hii yenye hiyo unayoiita Demokrasia ya ukweli!
 
Reactions: Oii
That was then, this is now. Ata many schools in Nairobi were white only schools. Ata estates, but we are a free country and anyone of any race can visit those facilities and get the services wanataka.

Kwa nini hamkujenga zenu? Kwa hiyo no white man no life, ndo maana Odinga anakwenda kushitaki kwa Muzungu miaka karibia 60 baada ya Uhuru!
 
Mijitu ya ccm haikuwahi kuwaza vyema...situkani leo!
 
Kwa nini hamkujenga zenu?
As someone said kwa hii thread hapo juu, intelligence yako ni wanting. After 1963 Kenya walijenga more facilities else we would be a shite country. And I dont know why you sound so racist
 
Ngoja nikuulize, ulishasikia Watalii wameahirisha kwenda USA kwa sababu ya Maandamano? Sasa Kenya tayari nchi zinatoa travel warning kwa raia wao kwa sababu ya Maandamano, sasa nani atafidia hiyo hasara ya Kiuchumi?
Yaelekea u tayari hata kubakwa na ukae kimya sababu ukipiga kelele watalii hawaji.
 
As someone said kwa hii thread hapo juu, intelligence yako ni wanting. After 1963 Kenya walijenga more facilities else we would be a shite country. And I dont know why you sound so racist

Nitajie hizo facilities ilizojenga Kenya baada ya Uhuru ukiondoa kazi ya Raisi Uhuru Kenya kwenye infrastructures!
 
Yaelekea u tayari hata kubakwa na ukae kimya sababu ukipiga kelele watalii hawaji.

Ni rahisi kusema hivyo ukiwa umeshiba na kujamba jamba siku nzima, muulize Mwananchi anayetegemea wageni waje ili aweze kupata kipato na kuishi!
 
Nitajie hizo facilities ilizojenga Kenya baada ya Uhuru ukiondoa kazi ya Raisi Uhuru Kenya kwenye infrastructures!
Kwani Uhuru Kenyata ni mzungu? I am sure Kenya was not stagnant before Uhuru. You are just a very unintelligent person who knows how to use social media. And stop being racist
 
Ni rahisi kusema hivyo ukiwa umeshiba na kujamba jamba siku nzima, muulize Mwananchi anayetegemea wageni waje ili aweze kupata kipato na kuishi!
Kwa nini una hofu sana ya mabadiliko Mr Kujambajamba?

Unataka kujifanya wewe ndio unayajua mahitaji ya Wakenya kuliko Wakenya wenyewe?

Hio idadi ya watalii unaoona hawataenda huko, wewe ndio uliwasaidia kuifikia? Unadhani Wanadamu wote wangekuwa na akili finyu kama zako hiyo Kenya leo ingekuwa huru? Maana kwa ubongo wako wa 'kitumwa' ungesema BORA WAZUNGU WABAKIE ILI SETTLERS WAENDELEE KULIMA KWENYE PLANTATIONS ZAO TUSIJEKOSA MAHINDI YA UGALI

We unadhani Kenya ni utalii tu? Empty Head...hata kwenye viwanda vyetu 3306 haufit maana hujui kuwa fundi cherehani lazima akikatekate kitambaa ndio aunde suti. We kichwa mgando utaona bora kiachwe kama kilivyo ukivae kama shuka uende kibaruani
 
Kuna wakenya wanashindia miwa?? Kama ni kweli maandamano ktk supermarket hayataisha
 
Kama mtanzania nataka amani itawale sana Kenya. Sisi ndo first respondents kwa vurugu zikitokea Kenya. Pia kuweni makini sana na wanasiasa kama Rails na Ruto ambao mara nyingi wataka raia wawe madaraja ya kutimiza ndoto zao. Binafsi sijaona sbbu ya Raila kujitoa angefile case kwanza juu ya makamishna wa tume. Na mahakama yenu ingempa haki yake. Lakini kujitoa kbsa na anajua wazi Kenya haina umoja wa kitaifa kama Tz kupita ktk kipindi kama hicho inatosha kumuona hafai.
 
Kwani Uhuru Kenyata ni mzungu? I am sure Kenya was not stagnant before Uhuru. You are just a very unintelligent person who knows how to use social media. And stop being racist

Intelligence is reletive, nimekwambia unitajie hizo facilities Kenya ilizojenga ulizosema kama ukipenda!
 
Kwanini mnadhani kufika walikofika USA na kwa njia walizopitia kutaifaa Kenya na mazingira yake yaliyo tofauti kijiografia, kitamaduni, kijamii, kiuchumi nk?

Mi nilidhani, kwa mwenye akili, maarifa na busara, angezitumia njia zilizotumiwa na wengine, akayasoma mapungufu yake, akatengeneza njia yake iliyo bora zaidi ya wale, ubinadamu uko hapo. Na ndicho, kilichoshauriwa na mleta mada na wengine wote walioiunga mkono mada.

USA ktk ukuaji wake, kulitokea matabaka ya kijamii, wenye viwanda na wenye mashamba, wataka watumwa na wapinga watumwa, kaskazini na kusini, hili tabaka lilivunjika kwa Civil war, je kwa kufuata njia zao, ukikuyu na ujaluo uliopo Kenya nao mtauvunja kivile?

Akili nyingi, zinahtajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…