Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
Si whites man hospital, it is a rich mans hospital tho
 
Niulize swali la kijinga kutokana na ujinga nilio nao. Kama utawala ni wa haki na usawa kutakuwa na maandamano? Ya nini? Tufike mahali tujitambue. Kama watu hawaridhiki na utawala wako kwa nini wasikuonyeshe kutokuridhika kwao? Unachoogopa nini mpk uwapige ma bomu?


Haki na Usawa ni relative, maana yake ni kwamba kila mtu atatafsiri kivyake na ukiruhusu hilo hkn kingine utafanya isipokuwa kusikiliza malalamiko ya watu, lkn unasahau wkt huo huo Barabara lzm zijengwe, watoto waende Shuleni, Wagonjwa watibiwe, Watu waende kazini n.k. na wote hawa pia wana haki sawa na wewe unayetaka maandamano!
 
Si whites man hospital, it is a rich mans hospital tho


Ni Muzungus Hospital, ilijengwa na Muzungu for Muzungu, Waafrika wameanza kuruhusiwa kutibiwa hapo baada ya Uhuru wa Kenya lkn ilijengwa kwa ajili ya kutibu white men!
 
Kila siku namwambia huyu jamaa ni mtanzania mwenzangu lakini IQ yake iko below sea level!
Ila sio mbaya ndivyo miCCM yote ilivyo wengi hawana akili na wale wenye nazo wanaweka njaa zao mbele!
Barbarosa you need to change my friend!


Ni change kwa ajili yako?
 
Ni Muzungus Hospital, ilijengwa na Muzungu for Muzungu, Waafrika wameanza kuruhusiwa kutibiwa hapo baada ya Uhuru wa Kenya lkn ilijengwa kwa ajili ya kutibu white men!
That was then, this is now. Ata many schools in Nairobi were white only schools. Ata estates, but we are a free country and anyone of any race can visit those facilities and get the services wanataka.
 
Tusiminye demokrasia kwa kisingizio cha maendelo, kujenga maendeleo na kusema tutaleta demokrasia baadaye ni sawa na kukimbilia kuezeka nyumba huku umefukia mabomu kwenye msingi, iko siku yatalipuka tu na kubomoa hata kile kidogo ulichoezeka juu.

Demokrasia ya kweli ilete maendeleo ya kweli, maana huo ndio mfumo wa kutuongoza tuliouchagua, kama demokrasia imetushinda basi tuunde ama tufuate mfumo mwingine wa utawala, sio kudanganya wananchi eti tuna demokrasia ya ukweli halafu wakati huo huo tunaifunga minyororo hiyo demokrasia na kuipa mipaka inayowanufaisha watawala.


Nitajie nchi moja Dunia hii yenye hiyo unayoiita Demokrasia ya ukweli!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
That was then, this is now. Ata many schools in Nairobi were white only schools. Ata estates, but we are a free country and anyone of any race can visit those facilities and get the services wanataka.


Kwa nini hamkujenga zenu? Kwa hiyo no white man no life, ndo maana Odinga anakwenda kushitaki kwa Muzungu miaka karibia 60 baada ya Uhuru!
 
Kenya acheni huu ujinga wa kujilinganisha na USA, Kenya ni poor third World Country wakati USA ni rich first World Country, hivyo kama USA wanaruhusu maandamano ni kwamba wanaweza kumudu lkn Kenya haiwezi kumudu huu ujinga!

Amkeni mnaingia shimoni, nchi haijengwi kwa chaos hata siku moja eti
,,we have the right to demonstrate” hayo ni mambo ya Kizungu bhana hii ni third World watu wako Kibera hawajakula tangu jana hlf unawafungulia kuingia shopping center ukitegemea waandamane kwa Amani na kurudi nyumbani kwa Amani?

Msichukuwe kila kitu cha Muzungu 1-1, kuna vya kuiga kama Elimu yao, work ethics, monogamy, n.k. lkn siyo ujinga wao wa sijui ,,black life matters” wanaweza kumudu chaos, Afrika is too poor for that, ...
Mijitu ya ccm haikuwahi kuwaza vyema...situkani leo!
 
Kwa nini hamkujenga zenu?
As someone said kwa hii thread hapo juu, intelligence yako ni wanting. After 1963 Kenya walijenga more facilities else we would be a shite country. And I dont know why you sound so racist
 
Ngoja nikuulize, ulishasikia Watalii wameahirisha kwenda USA kwa sababu ya Maandamano? Sasa Kenya tayari nchi zinatoa travel warning kwa raia wao kwa sababu ya Maandamano, sasa nani atafidia hiyo hasara ya Kiuchumi?
Yaelekea u tayari hata kubakwa na ukae kimya sababu ukipiga kelele watalii hawaji.
 
As someone said kwa hii thread hapo juu, intelligence yako ni wanting. After 1963 Kenya walijenga more facilities else we would be a shite country. And I dont know why you sound so racist


Nitajie hizo facilities ilizojenga Kenya baada ya Uhuru ukiondoa kazi ya Raisi Uhuru Kenya kwenye infrastructures!
 
Yaelekea u tayari hata kubakwa na ukae kimya sababu ukipiga kelele watalii hawaji.


Ni rahisi kusema hivyo ukiwa umeshiba na kujamba jamba siku nzima, muulize Mwananchi anayetegemea wageni waje ili aweze kupata kipato na kuishi!
 
Nitajie hizo facilities ilizojenga Kenya baada ya Uhuru ukiondoa kazi ya Raisi Uhuru Kenya kwenye infrastructures!
Kwani Uhuru Kenyata ni mzungu? I am sure Kenya was not stagnant before Uhuru. You are just a very unintelligent person who knows how to use social media. And stop being racist
 
Ni rahisi kusema hivyo ukiwa umeshiba na kujamba jamba siku nzima, muulize Mwananchi anayetegemea wageni waje ili aweze kupata kipato na kuishi!
Kwa nini una hofu sana ya mabadiliko Mr Kujambajamba?

Unataka kujifanya wewe ndio unayajua mahitaji ya Wakenya kuliko Wakenya wenyewe?

Hio idadi ya watalii unaoona hawataenda huko, wewe ndio uliwasaidia kuifikia? Unadhani Wanadamu wote wangekuwa na akili finyu kama zako hiyo Kenya leo ingekuwa huru? Maana kwa ubongo wako wa 'kitumwa' ungesema BORA WAZUNGU WABAKIE ILI SETTLERS WAENDELEE KULIMA KWENYE PLANTATIONS ZAO TUSIJEKOSA MAHINDI YA UGALI

We unadhani Kenya ni utalii tu? Empty Head...hata kwenye viwanda vyetu 3306 haufit maana hujui kuwa fundi cherehani lazima akikatekate kitambaa ndio aunde suti. We kichwa mgando utaona bora kiachwe kama kilivyo ukivae kama shuka uende kibaruani
 
Wakafanye maandamo nje ya mji au Mashambani huko hata miaka Jion raila anawapa chakula sio mjini kuzuia shughuli za watu,kama waliona wangeshinda wamwambie bosi wake ashiriki uchaguzi aache uoga, kaona hawezi shinda kakacha uchaguzi kukwepa aibu,wakenya hawataki udikteta Sera zake zimemponza nani anataka kushindia miwa.
Kuna wakenya wanashindia miwa?? Kama ni kweli maandamano ktk supermarket hayataisha
 
😀😀😀😀 Wivu unawamaliza watu wengi tokea Kusini. Nchi yetu yazidi kupaa each and every day, wenye wivu watazidi kuumia kwa kutafuta habari mbaya za kudunisha na kuthalilisha Taifa letu Tukufu(East and Central Africa's largest Economy and also among the largest in the continent economicaly). Anyway people are bound to have panick attacks whenever they feel Kenya is not going down as they hopefully wish.
Kama mtanzania nataka amani itawale sana Kenya. Sisi ndo first respondents kwa vurugu zikitokea Kenya. Pia kuweni makini sana na wanasiasa kama Rails na Ruto ambao mara nyingi wataka raia wawe madaraja ya kutimiza ndoto zao. Binafsi sijaona sbbu ya Raila kujitoa angefile case kwanza juu ya makamishna wa tume. Na mahakama yenu ingempa haki yake. Lakini kujitoa kbsa na anajua wazi Kenya haina umoja wa kitaifa kama Tz kupita ktk kipindi kama hicho inatosha kumuona hafai.
 
Kwani Uhuru Kenyata ni mzungu? I am sure Kenya was not stagnant before Uhuru. You are just a very unintelligent person who knows how to use social media. And stop being racist


Intelligence is reletive, nimekwambia unitajie hizo facilities Kenya ilizojenga ulizosema kama ukipenda!
 
Cha msingi tunataka kufika ata USA ya leo usidhani waliamka kwa siku moja ikawa USA ukiangalia tangu enzi za kina washington kumewai tokea mambo ya maandamano yasio ya amani na yakasababisha madhara mbalimbali lakn leo hii wapo wapii.....hatuwezi tukawa tunategemea demokrasia ijilete tu eti kwakuogopa watalii sijui mara nn, hapo ndo kufungulia maviongozi wapenda madaraka kibao kama akina museveni na magufuli,....we have to rise first
Kwanini mnadhani kufika walikofika USA na kwa njia walizopitia kutaifaa Kenya na mazingira yake yaliyo tofauti kijiografia, kitamaduni, kijamii, kiuchumi nk?

Mi nilidhani, kwa mwenye akili, maarifa na busara, angezitumia njia zilizotumiwa na wengine, akayasoma mapungufu yake, akatengeneza njia yake iliyo bora zaidi ya wale, ubinadamu uko hapo. Na ndicho, kilichoshauriwa na mleta mada na wengine wote walioiunga mkono mada.

USA ktk ukuaji wake, kulitokea matabaka ya kijamii, wenye viwanda na wenye mashamba, wataka watumwa na wapinga watumwa, kaskazini na kusini, hili tabaka lilivunjika kwa Civil war, je kwa kufuata njia zao, ukikuyu na ujaluo uliopo Kenya nao mtauvunja kivile?

Akili nyingi, zinahtajika.
 
Back
Top Bottom