Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakenya wanasema ume-catch mafeelings...Sasa kumbe hapa JF kuna nini kama siyo kujibizana? Au hauelewi maana ya kujibizana? Unajiona umefiiika mwenyewe!!!
which question is that? About transparency? So why don't you familiarise yourself how the transparent that system is. Do you even know who they count there ballots? It is total different from counting ballets paper. And YES it is so transparent even a child can do it, why don't you google it, google is there for literate people to read.please answer the damn question!
Kondoo mtu..Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
face palm!!!which question is that? About transparency?
counting goats, marbles, papers, cars, you name it.... is still counting. surely how different can counting marbles be from ballot papers that would make counting marbles more transparent? are marbles counted in pairs? on tree tops? inside bunkers? please break it down for me!!Do you even know who they count there ballots? It is total different from counting ballets paper.
being simple such that a child can do it does not make it transparent my friend!!.And YES it is so transparent even a child can do it,
I thought literacy was high there, you couldn't even find how Gambian system work? FYI there not counting marbles, google it you'll know.face palm!!!
counting goats, marbles, papers, cars, you name it.... is still counting. surely how different can counting marbles be from ballot papers that would make counting marbles more transparent? are marbles counted in pairs? on tree tops? inside bunkers? please break it down for me!!
being simple such that a child can do it does not make it transparent my friend!!.
You seem to be that guy that advocates for ignorance coz you flourish in it!!
Wewe umekuwa wazimu kwa muda mrefu sanaKenya acheni huu ujinga wa kujilinganisha na USA, Kenya ni poor third World Country wakati USA ni rich first World Country, hivyo kama USA wanaruhusu maandamano ni kwamba wanaweza kumudu lkn Kenya haiwezi kumudu huu ujinga!
Amkeni mnaingia shimoni, nchi haijengwi kwa chaos hata siku moja eti
,,we have the right to demonstrate” hayo ni mambo ya Kizungu bhana hii ni third World watu wako Kibera hawajakula tangu jana hlf unawafungulia kuingia shopping center ukitegemea waandamane kwa Amani na kurudi nyumbani kwa Amani?
Msichukuwe kila kitu cha Muzungu 1-1, kuna vya kuiga kama Elimu yao, work ethics, monogamy, n.k. lkn siyo ujinga wao wa sijui ,,black life matters” wanaweza kumudu chaos, Afrika is too poor for that, ...
Cha msingi tunataka kufika ata USA ya leo usidhani waliamka kwa siku moja ikawa USA ukiangalia tangu enzi za kina washington kumewai tokea mambo ya maandamano yasio ya amani na yakasababisha madhara mbalimbali lakn leo hii wapo wapii.....hatuwezi tukawa tunategemea demokrasia ijilete tu eti kwakuogopa watalii sijui mara nn, hapo ndo kufungulia maviongozi wapenda madaraka kibao kama akina museveni na magufuli,....we have to rise firstNgoja nikuulize, ulishasikia Watalii wameahirisha kwenda USA kwa sababu ya Maandamano? Sasa Kenya tayari nchi zinatoa travel warning kwa raia wao kwa sababu ya Maandamano, sasa nani atafidia hiyo hasara ya Kiuchumi?
Hacha mawazo mgando wewe km ya babako mzee upaa, Hakuna maendeleo pasi na demokrasia kokote, hiyo ndo gharama ya democracy, km hutaki kalia wembeDemokrasia ina mipaka hata kwa Muzungu ni hivyo, kwamba kuna vitu wanaruhusu kulingana na uwezo na hali yao, lkn Afrika hatuwezi kuiga hilo!
Angalia mfano maandamano ya Kenya tayari yanaathiri Utalii ambao Wakenya wengi wanautegemea ili waishi, sasa hiyo ni demokrasia au ujinga?
Kila siku namwambia huyu jamaa ni mtanzania mwenzangu lakini IQ yake iko below sea level!Mr man Barbarosa au sijui vile unataka uitwe, you are a very LOW IQ and thick individual. Kondoo mtu
Niulize swali la kijinga kutokana na ujinga nilio nao. Kama utawala ni wa haki na usawa kutakuwa na maandamano? Ya nini? Tufike mahali tujitambue. Kama watu hawaridhiki na utawala wako kwa nini wasikuonyeshe kutokuridhika kwao? Unachoogopa nini mpk uwapige ma bomu?Demokrasia ina mipaka hata kwa Muzungu ni hivyo, kwamba kuna vitu wanaruhusu kulingana na uwezo na hali yao, lkn Afrika hatuwezi kuiga hilo!
Angalia mfano maandamano ya Kenya tayari yanaathiri Utalii ambao Wakenya wengi wanautegemea ili waishi, sasa hiyo ni demokrasia au ujinga?
Wanaume wengi wanaoishabikia chama kile cha lumumba siyo ridhiki mkuu....Kila siku namwambia huyu jamaa ni mtanzania mwenzangu lakini IQ yake iko below sea level!
Ila sio mbaya ndivyo miCCM yote ilivyo wengi hawana akili na wale wenye nazo wanaweka njaa zao mbele!
Barbarosa you need to change my friend!
Nikuambie Mimi Mwanafamilia wa Lissu!!Tuambieni kilicho mleta Tundu Lissu nchini Kenya.
Hacha mawazo mgando wewe km ya babako mzee upaa, Hakuna maendeleo pasi na demokrasia kokote, hiyo ndo gharama ya democracy, km hutaki kalia wembe
Cha msingi tunataka kufika ata USA ya leo usidhani waliamka kwa siku moja ikawa USA ukiangalia tangu enzi za kina washington kumewai tokea mambo ya maandamano yasio ya amani na yakasababisha madhara mbalimbali lakn leo hii wapo wapii.....hatuwezi tukawa tunategemea demokrasia ijilete tu eti kwakuogopa watalii sijui mara nn, hapo ndo kufungulia maviongozi wapenda madaraka kibao kama akina museveni na magufuli,....we have to rise first