Kenya – Africa’s infrastructure powerhouse


Sorry to tell u that I do not believe that u've been to SA. Mimi pia sijawahi kufika huko,, lakini just from thr pics and the info I have gathered, Nairobi ni jiji kubwa inayotoshana au kuzidi kwa miundo mbinu, kiuchumi na idadi ya watu kama tu hizo miji mitatu mikuu ya SA kama Durban, Pretoria ama Capetown.

SA inashinda Kenya juu ina miji mingi kama Nairobi, lakini ni makosa kusema ati Nairobi ni mtoto kwa hizo miji zote. Mnatilia chumvi hali ya kimaendeleo SA.

C. Town



Nairobi






Halafu ni uongo ya kuwa Dar ina majengo mengi 15+ kushinda Nairobi.
NairobiWalker alidhibitisha vyema ya kuwa Nai ina majengo mengi zenye urefu wa zaidi +100m kushinda Dar, lakini Dar ndio iko na jengo refu zaidi kanda hii kwa sasa.
 
Enda ukalambe t-time haga
naona unawashwa sana huko nyuma.acha msouth aje akukune labda itasaidia kupunguza hasira zako.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
there was a fool who posted this ,indirectly comparing it to my cities
View attachment 536085

ohk i will compare it to this here lol
View attachment 536091View attachment 536092
View attachment 536094

thats durban . south africas playground
 
Kwani unategemea msouth wewe huwezani na hii vita?...we ni mwanaume aina gani...kwanza nataka uyo msee athibitishe yeye ni msouth A
 
Ila kwenye hiyo picha Capetown pamekaa vizuri aisee tusiwe wanafiki [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kwani unategemea msouth wewe huwezani na hii vita?
kumbe mpo vitani?...vita hamuwezi.kabla hamjatafuta vita na SA,malizaneni kwanza na wakora wa alshabab.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sod off with your pathetic pictures. we got it all in Nairobi and still going for more. you can only scare the tanzanians who have never seen a major highway or a flyover. take a hike dom-kop
you sound so jealous and frustrated....stay away from this thread if you can't control your anger after you see photos from t time.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mchezo umeshaisha kudadek Au bado mnavimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…