Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Acha ujinga kama hujafika Durban wala cape town, ukifika hutofananisha hizo slums zenu na miji kama ile, nakueleza sababu Nairobi naijua na hiyo miji ya SA naijua achana na picha maana hazielezi yote. halafu sijui nani huwa anawadanganya nakumbuka hata kipindi nakaa hapa kahawa wendani kuna jamaa mmoja aliwahi sema Nairobi nikubwa kuliko Durban nilicheka sana sasa na wewe unarudia kama mnazungumzia ukubwa wa kibera hapo sawa.
Sorry to tell u that I do not believe that u've been to SA. Mimi pia sijawahi kufika huko,, lakini just from thr pics and the info I have gathered, Nairobi ni jiji kubwa inayotoshana au kuzidi kwa miundo mbinu, kiuchumi na idadi ya watu kama tu hizo miji mitatu mikuu ya SA kama Durban, Pretoria ama Capetown.
SA inashinda Kenya juu ina miji mingi kama Nairobi, lakini ni makosa kusema ati Nairobi ni mtoto kwa hizo miji zote. Mnatilia chumvi hali ya kimaendeleo SA.
C. Town
Nairobi
Sitaki kuwa mnafiki mie Ni mtanzania huwa nacheka tu ninapoona vijana wa kitanzania mkibishana, Nairobi ni mji mkubwa kwa Africa mashariki kwa sasa imeizidi dar kwa miundo mbinu mpango miji na hata idadi ya watu, ila dar Ni mji unaokuja kwa kasi sana kwani idadi ya ghorofa kuanzia 15 kwenda juu dar imeizidi Nairobi na hata jengo refu kwa sasa EA liko dar. Ubishi mwingine hauna tija tuwe wakweli
Halafu ni uongo ya kuwa Dar ina majengo mengi 15+ kushinda Nairobi.
NairobiWalker alidhibitisha vyema ya kuwa Nai ina majengo mengi zenye urefu wa zaidi +100m kushinda Dar, lakini Dar ndio iko na jengo refu zaidi kanda hii kwa sasa.