Kitu ninapenda ni vile wakenya wapo 'open minded to speak out their challenges' nimesoma hiyo habari na hata tweets za wananchi wao, chanzo cha challenge kimeonekana na how to solve them, but nchi fulani hapa E.A hata kusema hilo tatizo tu ni kosa, na kupitia hapa jamiiforums 'bato' za wa k.e na wa tz utagundua watu hawapo sawa kichwani, one entity ya great mind, great generation ni kutokuficha matatizo......wakenya si wanafiki katika inshu ambazo si za kinafiki na ni bonge la wanafiki katika inshu za kinafiki....[emoji2955][emoji2955][emoji2955]